Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.

Choo mlangoni wameweka gunia au khanga

Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.

Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.

Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa Rais hata mbinguni kuna kiwanja chake,katupa somo wanaume,bora ufe bachelor kuliko kuoa familia ya ovyo,poverty cycle haitaisha kwenye ukoo wenu.

Mliooa familia duni poleni ,mliozaliwa familia duni pia poleni,mlaumu mama yako kuolewa na fukara.

Break the chain.
usioe wala kuolewa na lofa

Hakuna upungufu wa nguvu za kiume ni kukosa hela.
Hakuna mwanamke mwenye kiuno kigumu au kukosa utelezi ni madeni ya viccoba yanawakata stimu
View attachment 3054607
Umeongea kwa hasira ila kila kitu ni mipango ya mungu muumba.
 
Kuna wanaume wanajua wameoa familia zenye uwezo lakini hawana Furaha na hizo ndoa.
Wengine walikuwa Hawana kazi , kazi wakatafutiwa serikalini taasisi nzito kwa nguvu na ushawishi wa baba mkwe lakini ninavyokwambia Furaha ya hizo ndoa hawana.

Unakuta mke ni mkali kama pilipili 👌👌
Jeuri, kiburi n.k

Kwa Mwanaume yeyote respect is fundamental.
 
Nilichonaanisha TAFUTA HELAAAA

#YNWA
Kutafuta hela tunatafuta sana na ndio maana sina akili eti ya kufanikiwa kupitia mke au mkwe wangu.Nilishapata chance mbili za mademu wenye hela ,tena wana mizigo ya maana, kuna jamaa zangu walitaka kuniunganishia,kwa nilivyo waona sikuvutiwa nao kabisa, demu mmoja ni Dr yupo UN,wapili yupo kwenye kampuni za simu.

Nawashangaa nyie mnaamini ktk kuoa wanawake wenye hela au waliotoka kwenye familia tajiri, sasa ukifikiria hivyo na mwanamke atafikiriaje maana yy kaumbwa kutegemea mwanaume.

Wewe ndiye unaye takiwa utafute fedha uachana na mawazo ya kimario na kulelewa,utakuwa mtumwa ukweni.
 
Mwanamke gani anakutegemea?
Kwanini utegemewe na mwanamke?

TAFUTA HELA.

Kwa njia yoyote TAFUTA HELA.

#YNWA
 
Kua uyaone, usikariri maisha
Matajiri wawili wakubwa duniani wameachana na wake zao
Wakati mwingine hela sio kila kitu na hata pia unaweza kuoa kwenye familia masikini ila huyo huyo Mke ndio akaja kukupeleka mbali kimaisha na kuwa mmoja katika wenye maisha mema na yenye maadili mazuri

Unaweza kuwa unatukana hao masikini kumbe hata wewe hujawahi shila kamilioni 10 tu
Nafikiri wewe na wenzako wengi hamjamuelewa kabisa mleta mada pengine labda ni kwa sababu ameandika kwa kejeri nyingi, ila points zake ziko very clear.

Nilichokiona mimi hapo kitu ambacho amekimaanisha hasa ni kwamba mabinti wengi wanaotoka background/familia za kimaskini huwa ni pretenders/wanafiki wakubwa atajifanya anakuheshimu na kukupenda sana mwanzoni, ila siku ukishamuwezesha tu na yeye angalau akaanza kushika vihela plus kuujua mji vizuri, hapo sasa utaanza kuona uhalisia wake uliokuwa umefichwa na umaskini aliotoka nao huko kwao... majibu ya ovyo, dharau, kiburi na magomvi yasioisha vyote vitakuwa vyako mpaka utajuta hata kwanin umuokota huko kwao.

Hali hiyo ni tofauti kabisa na pale unapomuoa binti kutoka familia ya kitajiri ambaye yeye tangu awali tabia atakayokuonesha ndio tabia yake halisi kma ni mbaya utajua siku hiyo, kama ni nzuri utajua siku hiyo maana yeye hana sababu ya kuvaa uhusika feki... hivyo basi kama kijana una shauriwa kuoa mwanamke anayetoka familia inayojiweza sababu kuna chanche kubwa ya wewe kupata mwanamke mwenye haiba halisi ya mke mwema na mwenye mapenzi ya kweli.

Kitu kingine anachowasilisha kwenye mada hii ni kwamba njia moja wapo rahisi ya kuvunja poverty curse yaani laana ya umaskini kwenye ukoo/familia yenu ni kuoa/kuolewa kwenye familia ya kitajiri hasa zile zenye nguvu kama hizi za viongozi... maana ni rahisi sana kupata kazi za maana wewe pamoja na ndugu zako kupitia ushawishi wa wakwe zako.

Ndio unachokisema nacho pia ni sahihi unaweza ukaoa mwanamke maskini kutoka familia maskini na akawa ndio chachu ya wewe kutoka kwenye umaskini, lakini hii utokea mara chache saaaana kwenye 1000 utapata 2 au 1.
 
Namaanisha unaweza kupata access ya utajiri ila akili za kimasikini zikakukwamisha.
Huyu sweetycandy anaonekana ni wale wanawake waliokulia familia za uswekeni huko, zile familia ambazo hazina mpangilio wala utaratibu maalumu wa kuishi zina uhuru usiokuwa na mipaka ambapo binti anaweza asilale nyumbani siku mbili bila kutoa taarifa na asiulizwe, familia ambazo zimajawa na uswahili swahili na kufuatilia mambo ya ajabu ajabu.

Sasa mwanamke aliyekulia familia kama hii akiolewa kwenye familia ya kishua ambayo kila kitu kiko katika mpangilio maalumu ataona kama yuko utumwani, maana haimpi ule uhuru jinga aliokuwa ameuzoea wa kufuatilia mambo ya kipuuzi kama umbeya kwa majirani na kuzurura zurura ovyo kwa mashost.

Kitendo cha kuishi kwa kufuata utaratibu fulani wakati huo mahitaji yote ya msingi anapata ataona kama ni utumwa na unyanyapaa.

mwanamke kama huyu hawezi kuwa na jicho la kuona fursa za kiuchumi katika hali kama hiyo maana ameshazoea maisha ya kimaskini maskini uko uswekeni na anatakiwa aolewe na maskini mwenzie ambaye naye anaishi maisha ya kiswahili swahili na yasioleweka kama yeye hili ajione ni mwenye furaha
UOnavyo wewe ila mie nimeona nilivyoo ona
 
.
 
Attachments

  • bc6bf7d3ecca464baa037521ee9952f5.jpg
    bc6bf7d3ecca464baa037521ee9952f5.jpg
    99 KB · Views: 4
Nafikiri wewe na wenzako wengi hamjamuelewa kabisa mleta mada pengine labda ni kwa sababu ameandika kwa kejeri nyingi, ila points zake ziko very clear.

Nilichokiona mimi hapo kitu ambacho amekimaanisha hasa ni kwamba mabinti wengi wanaotoka background/familia za kimaskini huwa ni pretenders/wanafiki wakubwa atajifanya anakuheshimu na kukupenda sana mwanzoni, ila siku ukishamuwezesha tu na yeye angalau akaanza kushika vihela plus kuujua mji vizuri, hapo sasa utaanza kuona uhalisia wake uliokuwa umefichwa na umaskini aliotoka nao huko kwao... majibu ya ovyo, dharau, kiburi na magomvi yasioisha vyote vitakuwa vyako mpaka utajuta hata kwanin umuokota huko kwao.

Hali hiyo ni tofauti kabisa na pale unapomuoa binti kutoka familia ya kitajiri ambaye yeye tangu awali tabia atakayokuonesha ndio tabia yake halisi kma ni mbaya utajua siku hiyo, kama ni nzuri utajua siku hiyo maana yeye hana sababu ya kuvaa uhusika feki... hivyo basi kama kijana una shauriwa kuoa mwanamke anayetoka familia inayojiweza sababu kuna chanche kubwa ya wewe kupata mwanamke mwenye haiba halisi ya mke mwema na mwenye mapenzi ya kweli.

Kitu kingine anachowasilisha kwenye mada hii ni kwamba njia moja wapo rahisi ya kuvunja poverty curse yaani laana ya umaskini kwenye ukoo/familia yenu ni kuoa/kuolewa kwenye familia ya kitajiri hasa zile zenye nguvu kama hizi za viongozi... maana ni rahisi sana kupata kazi za maana wewe pamoja na ndugu zako kupitia ushawishi wa wakwe zako.

Ndio unachokisema nacho pia ni sahihi unaweza ukaoa mwanamke maskini kutoka familia maskini na akawa ndio chachu ya wewe kutoka kwenye umaskini, lakini hii utokea mara chache saaaana kwenye 1000 utapata 2 au 1.
Asante sana Muhimbu kwa kuweka points clear,asiyekuwlewa hataelewa ka mwe
 
Huyu sweetycandy anaonekana ni wale wanawake waliokulia familia za uswekeni huko, zile familia ambazo hazina mpangilio wala utaratibu maalumu wa kuishi zina uhuru usiokuwa na mipaka ambapo binti anaweza asilale nyumbani siku mbili bila kutoa taarifa na asiulizwe, familia ambazo zimajawa na uswahili swahili na kufuatilia mambo ya ajabu ajabu.

Sasa mwanamke aliyekulia familia kama hii akiolewa kwenye familia ya kishua ambayo kila kitu kiko katika mpangilio maalumu ataona kama yuko utumwani, maana haimpi ule uhuru jinga aliokuwa ameuzoea wa kufuatilia mambo ya kipuuzi kama umbeya kwa majirani na kuzurura zurura ovyo kwa mashost.

Kitendo cha kuishi kwa kufuata utaratibu fulani wakati huo mahitaji yote ya msingi anapata ataona kama ni utumwa na unyanyapaa.

mwanamke kama huyu hawezi kuwa na jicho la kuona fursa za kiuchumi katika hali kama hiyo maana ameshazoea maisha ya kimaskini maskini uko uswekeni na anatakiwa aolewe na maskini mwenzie ambaye naye anaishi maisha ya kiswahili swahili na yasioleweka kama yeye hili ajione ni mwenye furaha
Bila kuuhusisha ulilosema na mleta mada, nakuunga mkono kuwa umasikini unaendana na kuzurura na kutokuwa na ratiba.
 
Back
Top Bottom