Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Mzee usidanganywe huko kama kungekuwa hivyo ...Wale CCM wangejaza watoto ,naongelea wabunge na mawaziri ...Huku kutupu nilikuwa nafikria hayo miaka mingi ila nashukuru sijafika pia .
We jamaa mbona unaleta fact za hovyo hivyo sasa unataka wote waajiriwe kwenye taasisi za fedha nzuri sasa wataajiriwa wangapi sasa.

Watu wakubwa tu na hadhi zao wanapeleka watoto wao mpaka polisi na magereza huko sembuse TPDF mzee
 
Watu Kitaa Usalama wanabuta pesa ndefu mno.Hata TRA na EWURA hawaoni ndani mkuu na B.O.T pia
 
Si uweke maslahi kwani wanaishi Mbinguni si huku mitaani...Sasa mnaficha nn ?
 
We jamaa mbona unaleta fact za hovyo hivyo sasa unataka wote waajiriwe kwenye taasisi za fedha nzuri sasa wataajiriwa wangapi sasa.

Watu wakubwa tu na hadhi zao wanapeleka watoto wao mpaka polisi na magereza huko sembuse TPDF mzee
Hakuna watoto wa CCM ,unaongea kitu hukijua ...Hamna mishahara wala nafasi za kushindana na taasisi za umma ile top -tier...Binafsi nakuambia hao maluten wako hawakuti afisa pale LATRA ...kama unabisha tulete facts hapa wazi , tatizo unaficha ...Jesh tunaliheshima ila hawana hizo mambo ,mwenzio ana pesa ya mawasiliano laki 2 ,hiki ni kufurushi tu na huyo ni afisa grade II..Hao jamaa zako wafike hapo ujue wamefanya kazi miaka 10 mpaka 15.
 
Kumbe mkuu nilikuwa sijui aisee
 
Kaka iv si unajau hata kanali ni afisa?
Last time nakumbuka nimechek ..... ya mzee flan, ilikuwa 2014, hapo ni luten kanal ilikuwa ni 5M, na uchfu
 
Kwani mimi nilikuwa nasemea hapo ofisini kwenu? Muundo wa ajira za tra unafanana na hapo kwenu?
 
Inaonekana watu wa serikalini mnadekezwa sana!, mbona sekta binafsi huwa wanacheleweshewa mpaka tar 5 huko wengine ndo wanalipwa!
Huku sekta binafsi kucheleweshewa n kawaida.

Kumbe ndio maana huyu rafiki yangu wa geshini alinitafuta kwao ushasoma.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hamna kitu hapa
Kanali wangu tu 6-7m na zaid , then General itakuaje? Wee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…