Hizo ni posho, mshahara, na stahiki nyingine ndio inafika hiyo,Kaka iv si unajau hata kanali ni afisa?
Last time nakumbuka nimechek ..... ya mzee flan, ilikuwa 2014, hapo ni luten kanal ilikuwa ni 5M, na uchfu
Swali lake Lina msingi kwa sababu kwenye utumishi wa umma the more unafanya kazi miaka mingi ndio the more unalipwaWe achana na mambo ya ana miaka mingapi huku hiyo ya miaka mingapi acha nayo au unadhani Hawa ni walimu kwamba Kadri anavyofanya kazi mda mrefu ndo pesa inakuwa nzuri huku cheo mzee hiyo sijui annual increment ni kidogo sana
Hii ni tcra au tcaa?Wenzio entry level yule fresh graduate ni 4.5 Mil ,yuko ndani ya probation.
Tcaa Wako Mil 4 something...Sijui nikutajie nyingine mbili 🤣🤣Hii ni tcra au tcaa?
Nipe entry level za huko kwenu japo najua ni siri sana na hazitakiwi kuwekwa public.Hii ni tcra au tcaa?
Naomba nitajie mbili please🙏Tcaa Wako Mil 4 something...Sijui nikutajie nyingine mbili 🤣🤣
Njoo inboxNaomba nitajie mbili please🙏
Kuna jamaa ni engineer II naona Mambo yake sio mabaya
Unalolijuwa wewe ni lipi?Usilolijua ni kama usiku wa giza.
Tufanye biashara.Mwenyekiti wa wafanyakazi wa halmashauri[emoji3]
Muundo wa ajira za serikali zinafanana.Kwani mimi nilikuwa nasemea hapo ofisini kwenu? Muundo wa ajira za tra unafanana na hapo kwenu?
Kwao wapi?Nipe entry level za huko kwenu japo najua ni siri sana na hazitakiwi kuwekwa public.
Hawa wanajeshi kwa entry level ..Hawa mishahara yao mpak mtu awe na cheo sana yaani amekaa sana.Kwao wapi?
Braza sasa hivi mishahara ya Taasisi zoteeee ipo waziiii.
Zamani hizo ndio ilikuwa siri, sasa hivi ukitaka mshahara wa mtu yeyote rahisi kuujua.
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Na dharau za kada zilianza pale mishahara ilipo julikana.Naomba nitajie mbili please🙏
Kuna jamaa ni engineer II naona Mambo yake sio mabaya
Mishahara yotee ya wanajeshi ukitaka kuijua ukajipa assigment kuanzi leo, mbona wiki ijayo unakuja nayo yotee..Hawa wanajeshi kwa entry level ..Hawa mishahara yao mpak mtu awe na cheo sana yaani amekaa sana.
Serikalini walinzi wanatoka suma jkt kwa sasa ni zamani sana ndio taasisi zilikuwa Zinaajiri with exception to baadhi ya taasisi kama Judiciary,Muundo wa ajira za serikali zinafanana.
Walinzi, wapika chai na wafanya usafi HAWAHITAJI UJUZI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Alikutajia hukuona si ndio?Na dharau za kada zilianza pale mishahara ilipo julikana.
Mfano:
1. Zamani walimu walikuwa wanashemika sanaa.
Ila utandawazi ulivyoingia mishahara yao ilivyoanza kujulikana DHARAU KWA WALIMU ZIKAANZA.
2. 2012 baada ya kuingia serikalini nilikuwa nawakubali sanaa TISS
Bwana 2014 zikaingia ajira mpya, nikajipatia pisi yangu ya TISS.
Kupiga pumb(u) ile mahaba niue akanitajia mishahara na posho zao zoteee.
Aisee nikashangaa "Kumbe nao ni wakaida tu""
Mtu akijua income yako ndio ANAKUPIMIA LEVEL YA HESHIMA ATAKAYO KUPA..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Tunaongelea Form four.Serikalini walinzi wanatoka suma jkt kwa sasa ni zamani sana ndio taasisi zilikuwa Zinaajiri with exception to baadhi ya taasisi kama Judiciary,
ni lini tra wameajiri walinzi?
Muundo wa utumishi wa tra ni sawa na wenu? Tra kuna kamishna mkuu, naibu kamishna mkuu, makamishna, manaibu makamishna, mameneja, mameneja wa wilaya, kwenu huo muundo upo?
Tra muundo wake ni afisa II, afisa I, full ofisa, senior, principal kwenu ipo?
Tunaongelea tra, sasa ni lini tra wemeajiri form iv?Tunaongelea Form four.
Jikite na hoja; FOUR FORM wasio na ujuzi wapo kwenye ofisi kibao.
Ajira za serikali kwasasa ni Form Four ndio least education level baada ya sheria kufanyiwa ammendments na elimu ya darasa la saba kutolewa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unakaa na demu ndani miezi na miezi usione documents zake?Alikutajia hukuona si ndio?
Labour Relation Act and Regulations zina exclude TRA??Tunaongelea tra, sasa ni lini tra wemeajiri form iv?