Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

🀣🀣🀣
 
huu sio mshahara wako, ni baada ya makato ya mikopo
 
Bro jana nimeuza viazi vyangu ,njoo Mwailubi mida mida tupate maji kidogo
Niko Tunduma mwana
Kuna magendo balaaaa.

Hii nchi bila kukosana na serikali ukategemea mshahara HUTOBOI.

Nakuja usiku NASOMA hapoo.
Kuna pisi nishaipanga.

Maisha ni hayahaya na Dunia tunapita.
We live onces.
LETS ENJOY.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Niko Tunduma mwana
Kuna magendo balaaaa.

Hii nchi bila kukosana na serikali ukategemea mshahara HUTOBOI.

Nakuja usiku NASOMA hapoo.
Kuna pisi nishaipanga.

Maisha ni hayahaya na Dunia tunapita.
We live onces.
LETS ENJOY.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sawa kaka
Nilishaacha kuvusha hao jamaa wa Fiston walitaka nikafie jela
 
Ukideal na magendo uwe na hela ya fasta.

Na wagumu ni TRA tu, ambao nao wana njaa kama wewe.

Usikate tamaa RUDI TENA TUNDUMA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hela ilikuwepo bro ,kilikuwa kipindi cha christmass waliniganda hao jamaa wa hapo mara wakaja hao washikaji wa cruiser nyeupe ilibaki kidogo niende lupango na gari waliseize ila nilipiganisha yakawa sawa .

Nitarudi Tunduma ila kwqnza nifike Tandika kwa bibi kuna mambo tuupdate nahisi yameexprire bro .

Pamoja nigga tutaonana mida
 
Hawa jamaa wanapata special treatment ya malipo sababu si raia kama wafanyakazi wengine.Wako standby kwenye maafa au vita vya kulinda nchi yetu.Hata kwenye meimosi huwaoni.Sasa we we unataka wapige miayo ili iweje.taf bana
 
Mimi wali "Sizi" mzigo wa Mil 2 wale mbwa.
Nilikuja kuupata una wiki kabla huja expire.
Wale jamaaa walaaniwe woteeeee

Wataalamu wapo Makete na Kilolo.

Usikate tamaaa

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hahah! Sasa hivi unakuja mwenyewe eti wenye pesa wanahesabika, sasa achana na wenye pesa kuhesabika nasemaje NIMEKUJA KWENYE HII MADA SABABU WEWE UMEPOTOSHA MASHAHARA YA TPDF baasi we ukija sijui mara safari mara sijui entry level me sipo huko nimemaliza.
 
Safari ni utajiri kwenye baadhi ya mashirika ya umma, watu wanajenga magorofa kwa per diem
 
Safari ni utajiri kwenye baadhi ya mashirika ya umma, watu wanajenga magorofa kwa per diem
Wasikudanganye "Majengo yanajengwa" "Ma V8 yananunuliwa" na ""Biashara zinakuwa" KWA HELA YA WIZI.

Watu hawachagui ofisi kimshahara, raia tunaangalia EXTRA BAADA YA MSHAHARA.

Maisha sio MSHAHARA

Maisha ni MADILI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…