Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Soma hiyo screenshot yako, umepotosha umma afu unabisha, mshahara wa jenerali ni 3.5m, unaokota wapi maneno ya mitaani?
 
Hahahaaa usikute wamepewa RESHENI kwanza.ki

Kila mwenye kutafuta, hupata kulingana na utafutaji wake ndugu.
Pambana Chako kiwe kikubwa zaidi na sio kwanini fulani anΓ pokea kikubwa ama mapema zaidi alafu ufahamu wao kwa nafasi yao Kuna nyakati hawapati stahiki zao hasa kwa wanaoishi uraiani Ila viapo vyao vinawakataza kuropoka hovyo Kama taasisi zimgine, sababu kuu ni utii na utiifu kwa viongozi wakuu na katiba ya inchi.
 
Soma hiyo screenshot yako, umepotosha umma afu unabisha, mshahara wa jenerali ni 3.5m, unaokota wapi maneno ya mitaani?
Naona umekimbilia huko na tulikuwa kwenye afisa πŸ˜€ πŸ˜€
 
Naona umekimbilia huko na tulikuwa kwenye afisa πŸ˜€ πŸ˜€
Nimekosoa upotoshaji wako, mishahara uliyosema ni midogo, una underate taasisi yenye heshima kubwa nchi nzima
 
Nimekosoa upotoshaji wako, mishahara uliyosema ni midogo, una underate taasisi yenye heshima kubwa nchi nzima
Umeambiwa cheo cha juu kama General ,so sio lazima awe General ,kuna vyeo kama makundi matatu au manne.
 
Umeambiwa cheo cha juu kama General ,so sio lazima awe General ,kuna vyeo kama makundi matatu au manne.
Unafahamu jenerali ni kuanzia cheo kipi?

Hebu taja hivyo vyeo unavyosema ni makundi manne
 
General ni cheo cha juu
Vipo vyeo vinne vina status ya jenerali. Kuna birigedia jenerali, meja jenerali, luteni jenerali na jenerali kamili (full General, huyu ndo mkuu wa majeshi) so wacha kupotosha watu hakuna unachojua kwenye jeshi.
 
Hivyo ni vyeo vya juu kwa ujumla.
 
Vipo vyeo vinne vina status ya jenerali. Kuna birigedia jenerali, meja jenerali, luteni jenerali na jenerali kamili (full General, huyu ndo mkuu wa majeshi) so wacha kupotosha watu hakuna unachojua kwenye jeshi.
Huyo jamaa unabishana nae nini wakati kwenye majeshi ni mtupu kabisa hajui anachokijua sasa hata hapo tu ukimuuliza nini maana ya section hajui achana nae mzee huyo anakupotezea mda!
 
Mshahara hata sijauwithdraw mpaka sasa, wa zamani haujaisha, siku zingine inakutana ya miezi miwili.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mzigo ushaisha bwashee, kuna kazi huwa hawachukui hata salary kwa sababu ya vikao, na safari, sitting allowance ya kikao kimoja ni 250,000/- kwa mwezi vikao vitano, per diem akisafiri 5 days(wastani wao hauzidi 10 days per month)ni 1,200,000/- [ on transit 100,000 kwa 100,000] akijumlisha ana 2.2m, salary take home 1.9m, extra duty yake 700,000/-, posho ya incentive 850,000/-, Mafuta allowance 400,000/- huyu kweli salary hawachukui, ni kwenye shirika la Umma moja hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…