pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Lakini madeleka yeye alionesha barua yake ya kupata cheo cha inspector kikiwa na salary scale ya 990,000/-Hahaha! Haya bhana.
Constable au shati tupu mwenye digrii ya kawaida analipwa laki 915+hiyo ni kwa other degree maana kule kuna makundi ma3 ya degree.
Constable wa IT analipwa 1.2m
Constable yeyote mwenye Degree yoyote ya afya ni 1.5m.
Sasa dogo yeye wakati wa kusaini mshahara alisaini huo 915 na Kuna professional allowance hapo kwa hiyo tunaposema mshahara ulishabadilika tuelewane na usingekuwa haujabadilika asingesaini hiyo hela.
Kumbuka ni hana cheo chochote
Mnavyosema mishahara haikuongezwa kipindi cha jiwe, nasikia aliongeza kwa wasiojulikana.Hakuna ongezeko, kwenye police, prison, immigration, fire ni hizo elfu 80,90 ndio zilizoongezeka since 2016, kadhalika kada nyingine za kiraia ongezeko halizidi elfu 90,
Isipokuwa posho za kazi maalum, extra duty, per diem hizo ni kweli zilipandishwa tangu 2022
Mnavyosema mishahara haikuongezwa kipindi cha jiwe, nasikia aliongeza kwa wasiojulikana.Hakuna ongezeko, kwenye police, prison, immigration, fire ni hizo elfu 80,90 ndio zilizoongezeka since 2016, kadhalika kada nyingine za kiraia ongezeko halizidi elfu 90,
Isipokuwa posho za kazi maalum, extra duty, per diem hizo ni kweli zilipandishwa tangu 2022
Nilifikiri utakuja na majibu ya hoja zangu kumbe unaendelea kuruka ruka tu, hoja sita hujajibu hata moja, sasa kati ya mimi na wewe nani hajibu hoja za mwenzake.Punguza maneno mengi kama unataka kukopa , hauwezi kujibu swali langu hata moja ..Endelea kubwabwanya , Form four.
Waambie kuwa constable hana V hata moja hapo.Hahaha! Haya bhana.
Constable au shati tupu mwenye digrii ya kawaida analipwa laki 915+hiyo ni kwa other degree maana kule kuna makundi ma3 ya degree.
Constable wa IT analipwa 1.2m
Constable yeyote mwenye Degree yoyote ya afya ni 1.5m.
Sasa dogo yeye wakati wa kusaini mshahara alisaini huo 915 na Kuna professional allowance hapo kwa hiyo tunaposema mshahara ulishabadilika tuelewane na usingekuwa haujabadilika asingesaini hiyo hela.
Kumbuka ni hana cheo chochote
Samia kaongezea wafanyakazi mishahara kwa 35% kwa watu wa kima cha chini, kima cha kati na cha juu napo kutakuwa na nyongeza nono.Lakini madeleka yeye alionesha barua yake ya kupata cheo cha inspector kikiwa na salary scale ya 990,000/-
Hakuna mwenye take home ya 1m kwenye salary hapo, pesa bado ni ndogo, kwenye pesa ya maana ni tpdf, maliasili jeshi usu
Hoja za Form four ,uwezo mdogo .Nilifikiri utakuja na majibu ya hoja zangu kumbe unaendelea kuruka ruka tu, hoja sita hujajibu hata moja, sasa kati ya mimi na wewe nani hajibu hoja za mwenzake.
Siwezi kumshauri ndugu yangu aombe kwa sababu hatapataSamia kaongezea wafanyakazi mishahara kwa 35% kwa watu wa kima cha chini, kima cha kati na cha juu napo kutakuwa na nyongeza nono.
Pia Msemaji wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania, Kanali Gaudence ilonda, katangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa form four, Form six, diploma, degree za afya na uhandisi, na masters za udaktari bingwa (medical specialists).
Waambie ndugu na jamaa zako watume maombi makao makuu ya jeshi Dodoma.
-kwenye superintendent ile ni ngao au Mwenge?Mnavyosema mishahara haikuongezwa kipindi cha jiwe, nasikia aliongeza kwa wasiojulikana.
All in all, hizo 900K ni nyota moja ya hao wa wizara ya mambo ya ndani, ila akiwa nyota moja plus bachelor holder ndo 1.2m
Nyota moja ya majeshi mengine haitolewi na Rais wa nchi, nadhani inatolewa na kamishna mkuu wa jeshi husika, ila nyota moja ya JW inatolewa na Rais wa nchi tu, kama Rais kasafiri atasubiriwa arudi, kama kafariki, watasubiri apatikane Rais mwingine mpya ndo aje awape kamisheni(mfano alipofariki jiwe, kuna maafisa alitakiwa awaapishe Monduli, wakasubiri mpaka Mama alivyokuwa Rais ndo akaenda kuwaapisha), hakuna mbadala ni Rais wa nchi tu na si vinginevyo.
Pia nyota moja wa JW hawezi kumpigia saluting nyota tatu wa majeshi mengine, atampigia saluti kuanzia cheo cha kamisha msaidizi I.e ACP na kuendelea
Kumbuka haya majeshi mengine, cheo cha kamishna msaidizi na kuendelea ndo kinatolewa na Rais, mara nyingi ndo wanakuwa makamanda wa wilaya au mkoa, na mpaka ufike cheo hicho ni kama ifuatavyo(tutolee mfano polisi)
Assistant Inspector-Nyota moja
Inspector of police-Nyota mbili
Assistant Superintendent of police (ASP)-nyota tatu
Superintendent of police (SP)- ngao ya taifa begani
Senior Superintendent of police (SSP)- ngao ya taifa begani na nyota moja
Assistant Commisioner of police (ACP)- ngao ya taifa begani na nyota mbili
So nyota moja ya JW, anapiga saluti kuanzia cheo hicho cha ACP na kuendelea (vinavyoendelea kuna SACP, DCP, CP na IGP.)
Maelezo yote hayo najaribu kuonyesha nyota moja ya JW ni mkubwa tofauti na nyota za hayo majeshi mengine.
Ni dalili ya kuishiwa hoja, degree yangu moja tu ni sawa na degree zako mbili, na Kuna masomo A level mfano physics, chemistry, biology and pure mathematics.Hoja za Form four ,uwezo mdogo .
Kwanini hatapata?Siwezi kumshauri ndugu yangu aombe kwa sababu hatapata
Kabla ya ACP ni mwenge, ACP nimereview sasahivi nimekuta ni ngao, mwenge na nyota moja.-kwenye superintendent ile ni ngao au Mwenge?
-SSP ile ni ngao au Mwenge?
- ACP ni ngao, Mwenge na nyota 2
- Afisa wa Conservation hapewi nyota na Rais lakini ana hela kuliko majeshi yote uliyoyataja.
ConnectionKwanini hatapata?
Acha zako ,hauna uwezo wa kujibu maswali ..Wewe kama kiongozi basi hamna kitu kichwani.Ni dalili ya kuishiwa hoja, degree yangu moja tu ni sawa na degree zako mbili, na Kuna masomo A level mfano physics, chemistry, biology and pure mathematics.
Kama kombi uliyosoma advance haina hata masomo mawili kati ya hayo, usiahindane na mimi kwa akili za darasani. Ndomaana nakuuliza ulisoma masomo gani, unaruka ruka tu.
Mbona watu wanapata, asikate tamaa aombe tuConnection
Labda wapitie Secretariat ya ajira
Wewe mwenye uwezo wa kujibu umejibu mangapi kati ya maswali yote sita?Acha zako ,hauna uwezo wa kujibu maswali ..Wewe kama kiongozi basi hamna kitu kichwani.
Haujawahi kujibu zaidi nakupa taarifa unaruka ruka . Tuliza kichwa utaongoza hao wenzio ila hauna uwezo ..Unabisha ila hausemi ,unaulizaa hivi unajibu vingine 🤣🤣🤣Nilikwambia utakimbia hata wenzio wanashangaa .Wewe mwenye uwezo wa kujibu umejibu mangapi kati ya maswali yote sita?
Mimi na wewe nani kamkimbia mwenzie? Jibu hoja sita ndo nitakusikilizaHaujawahi kujibu zaidi nakupa taarifa unaruka ruka . Tuliza kichwa utaongoza hao wenzio ila hauna uwezo ..Unabisha ila hausemi ,unaulizaa hivi unajibu vingine 🤣🤣🤣Nilikwambia utakimbia hata wenzio wanashangaa .
Haujajibu hoja hata moja ,tafuta mwenye uwezo kama wako wa form four 🤣🤣Mimi na wewe nani kamkimbia mwenzie? Jibu hoja sita ndo nitakusikiliza