Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Haujawahi kujibu halafu ubakimbia kimbia sana hutulii
Kareseat form four ufute hiyo zero, usome certificate upate angalau ajira ya tamisemi uhame kwa shemeji yako, hizo ni stress ndo unazo, unashindwa kujibu hoja unatoa maneno matupu tu
 
Kareseat form four ufute hiyo zero, usome certificate upate angalau ajira ya tamisemi uhame kwa shemeji yako, hizo ni stress ndo unazo, unashindwa kujibu hoja unatoa maneno matupu tu
🤣🤣🤣Nyie si mnajiriwa la saba na form four ,si umesema mwenye hata certificate na diploma ulikuwa haujui
 
🤣🤣🤣Nyie si mnajiriwa la saba na form four ,si umesema mwenye hata certificate na diploma ulikuwa haujui
Wewe hujui hata wizara za nchi yako, hujui kama kuna wizara ya ulinzi umekariri ya mambo ya ndani tu, afu unajiita una degree, huna hata certificate hapo maana hujui vitu, degree yangu moja tu hata uunganishe akili yako na ya baba yako hutoboi kuisoma
 
🤣🤣🤣We form four acha ubishi naona mishahara imetajwa unaanza kulia lia...Jamaa hauna uwezo wewe umefeli Form four.
 
🤣🤣🤣We form four acha ubishi naona mishahara imetajwa unaanza kulia lia...Jamaa hauna uwezo wewe umefeli Form four.
Duh form iv huyu kuwa afisa asahau kabisa, yeye ni V tu
 
Mwanajeshi halipwi mshahara ni posho tu ya kujikimu. Wewe unaweza kuutoa uhai wako kwa milioni moja au mbili? Kuna idara msizifanyie mzaha.
 
Duh form iv huyu kuwa afisa asahau kabisa, yeye ni V tu
🤣🤣Sasa wamehamia kwenye ujuzi hata polisi wanatoa kwa watu wenye ujuzi ...Hao darasa la saba na form four ni wa zamani sana.
 
Huyo jamaa anaongelea darasa la saba na form four mwaka 2025 ,huko jeshini mpaka watu wa degree wanaenda na kutemwa
Wanatemwa sio kwa merits bali kwa kukosa wa 'kuwashika mkono'
 
Wanatemwa sio kwa merits bali kwa kukosa wa 'kuwashika mkono'
Ajira ni ngumu halafu tatizo sokoni wanaingia kwa uhitaji wa level tofauti ,labda wenye elimu fulani wana idadi yao na wengine wana idadi yao hata fani kila fani kuna idadi yao .
 
🤣🤣🤣🫠 Umeshindwa kutaja ,haujajibu swali hata moja
Wewe ndo umeshindwa na huko ni kunikimbia kijanja afu ulisema mi ndo nitakukimbia, hata uwezo wa kufikri huna. Hoja sita zote hakuna hata moja uliyojibu, njoo na majibu ya hoja wacha janja janja.
 
Wewe ndo umeshindwa na huko ni kunikimbia kijanja afu ulisema mi ndo nitakukimbia, hata uwezo wa kufikri huna. Hoja sita zote hakuna hata moja uliyojibu, njoo na majibu ya hoja wacha janja janja.
Mbs zenyewe hauna ,wapi umetaja? 🤣🤣entry level zaidi unazunguka ...Nime'bold ila bado haulewi kabisa ,huku kwenye Taasisi hawataki Form four kama wewe ..
 
Mbs zenyewe hauna ,wapi umetaja? 🤣🤣entry level zaidi unazunguka ...Nime'bold ila bado haulewi kabisa ,huku kwenye Taasisi hawataki Form four kama wewe ..
Entry level nilishajibu kuwa sitaji, taasisi zingine zina usiri siyo za hovyo hovyo kama ulizozoea. Nimejibu nadhani ni mara ya tatu, nawewe jibu hoja zangu sita uache uzwazwa, mmenishambulia watu kadhaa mimi nipo mmoja mmenishindwa, na dalili ya kuwa mmeshindwa, badala ya kujibu hoja za msingi mnaniattack mimi personally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…