Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Ulianza mambo ya afisa kamanda ,we bado mshamba na Form four yako.
 
Mwanajeshi halipwi mshahara ni posho tu ya kujikimu. Wewe unaweza kuutoa uhai wako kwa milioni moja au mbili? Kuna idara msizifanyie mzaha.
Hizi ngonjera mliitwa ? Acheni ngonjera kujiona wa muhimu kuliko walimu na madaktari ..Mnapigana vita kila siku ? Acheni zenu ...Watu mnatoka mpaka vitambi kwa uhai upi unaoweka rehani ..Wenzenu madaktari ni muhimu kuliko nyie zaidi ya kutumika kisiasa.
 
Unaumia ukiwa wapi tukuletee maji upoze.
 
Pole sana. Unaumia ukiwa wapi?
Hao walikosa nafasi za jeshi ndomaana wana makasiriko wana wivu wa sizitaki mbichi hizi, ndomaana wanasema hawataki kushauri ndugu zao waende kisa hawana watu wa kuwashika mkono.
 
Hiyo nayo nilishakufafanulia mara tano, ukaishia kuleta screenshot za upotoshaji, jibu hoja sita ulizozikimbia
Naona unalia form four ,unauliza nafasi za form four TRA nilikuona una matatizo wewe?
 
Hayo ni makasiriko ya umasikini wao wa akili na wa kipato
 
Naona unalia form four ,unauliza nafasi za form four TRA nilikuona una matatizo wewe?
Nawewe ambaye hujui wizara za nchi yako ni mzima? Degree yako uliiokota jalala gani? Unataka ushindane akili za darasani na mimi utaweza? Degree nilizonazo ukiunga yako na ya baba yako hamnifikii na hamna uwezo wa kuisoma ni vilaza.
 
🤣🤣🤣🤣Naona unaleta video ila mishahara yenu ya kawaida sana kuruta wewe..
 
Kwanza huyo unaweza kuta ndio wale form iv alifeli akawa kero kwa wazazi wakampeleka Jeshi kama last resort
 
Kwanza huyo unaweza kuta ndio wale form iv alifeli akawa kero kwa wazazi wakampeleka Jeshi kama last resort
🤣🤣🤣Huyu kakulia jeshini huku tangu afeli form four🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…