hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Narudia kusema hivi Jw kinachowabeba na yale marupurupuUnafikiri kwanini haruhusiwi? Hata boda boda au bajaji haruhusiwi, kwasababu ni mtu muhimu na kapatikana kwa gharama kubwa, hatuwezi kumruhusu akae kwenye usafiri wa risk na kudgalilisha taasisi ya JW.
Kingine wewe ndo umeshiba stori za viniweni, nilikuona kiazi ulivyopost screenshot za mishahara ya uongo hadi Saveya akakupinga, ningepinga mimi ungeniona mbishi
Afisa wa jeshi ana cheo na hadhi kuliko afisa wa TRA, ndomaana cheo chake anapewa na Rais wa nchi lakini afisa wa TRA usikute hata huyo Rais wa nchi hajawahi kumuona, we waafisa wa jeshi kuna kipindi wanaapishwa hadi ikilu na Rais wa nchi, katiks seniority za kitaifa, afisa wa jeshi ni commissioned officer, ni senior kuliko afisa wa TRA wacha kupotosha watu.-mtihani wa kumpata ofisa wa tra ni mgumu zaidi maradufu compared to ofisa wa kwenu, ukiona mtu kapata kazi tra kweli huyo kichwani yuko bright compared to huko kwenu
- Afisa wa Tra pia ni mtu nyeti kwa sababu anakusanya mabilioni ya kodi ambayo yanaenda kuwalipa hadi huko kwenu, umeona tunavyotegemeana?
- Afisa wa tra kwanza ndio mwenye kuweza ku-catch attention nenda sehemu yoyote ile jitambulishe kama ofisa wa tra uone Kila mtu mtazamo wake utakuwa ni ana pesa,status na heshima.
- Huko kupanda bodaboda, public transport ni Akiwa kwenye sare au Akiwa amevaa kiraia,
- kwani ofisa wa tra na ofisa wa jeshi nani mwenye hadhi? Ukienda kwa mtoto mdogo ukimuuliza kuhusu tra image yake ni money, pesa,pesa.
- Maofisa wa tra Wana privilege ya kikodi ya kuagiza magari kwa nafuu na ndio maana ni rahisi kukuta ofisa wa tra kununua range Rover,lakini sijawahi kuona junior officer anaendesha range Rover.
- tukija kwenye fursa za pesa wapi Kuna fursa za pesa? Ofisa yupi ana fursa za pesa?
Hii sijui ni mara ya ngapi nakwambia, kuwa hakuna mahala niliposema JW wanalipwa nyingi kuliko taasisi zote, ila ni miongoni mwa taasisi zinazolipa vizuri kuliko zingine.Bado ni hela ndogo kwa mashirika ya umma huko Kuna vikao, safari, extraduty, transport, communication, incentive, mnaowazidi sana ni tamisemi Hawa ndio mnawaonea.
Kwqmza kuna tetesi huko TRA mnachomekana kwa kujuana, siyo kwa akili za msailiwa.-mtihani wa kumpata ofisa wa tra ni mgumu zaidi maradufu compared to ofisa wa kwenu, ukiona mtu kapata kazi tra kweli huyo kichwani yuko bright compared to huko kwenu
- Afisa wa Tra pia ni mtu nyeti kwa sababu anakusanya mabilioni ya kodi ambayo yanaenda kuwalipa hadi huko kwenu, umeona tunavyotegemeana?
- Afisa wa tra kwanza ndio mwenye kuweza ku-catch attention nenda sehemu yoyote ile jitambulishe kama ofisa wa tra uone Kila mtu mtazamo wake utakuwa ni ana pesa,status na heshima.
- Huko kupanda bodaboda, public transport ni Akiwa kwenye sare au Akiwa amevaa kiraia,
- kwani ofisa wa tra na ofisa wa jeshi nani mwenye hadhi? Ukienda kwa mtoto mdogo ukimuuliza kuhusu tra image yake ni money, pesa,pesa.
- Maofisa wa tra Wana privilege ya kikodi ya kuagiza magari kwa nafuu na ndio maana ni rahisi kukuta ofisa wa tra kununua range Rover,lakini sijawahi kuona junior officer anaendesha range Rover.
- tukija kwenye fursa za pesa wapi Kuna fursa za pesa? Ofisa yupi ana fursa za pesa?
Hao wanaoendesha bodaboda ni vyeo vya chini, maafisa hawaruhusiwi, ndomaana nikasema circle yako ya JW unayoishi nayo ni ya vyeo vya chini, unageneralize kwa watumishi wote wa JW.🤣🤣Kwani nyie wanajeshi mna nn cha maana ? Kama mngekuwa mnajali uhai msingekuwa mnaendesha pikipiki kama bodaboda ,tena mnapewa za mkopo kabisa🤣
Wewe sitaki kujusikiliza, umepotosha mishahara na screenshot yako hadi Saveya akakupinga, eti mshahara wa cheo cha chini ni 600K, wa jeshi la baba yako au?Narudia kusema hivi Jw kinachowabeba na yale marupurupu
Ona akili zako zinazoonyesha huna upeo wa kujenga hoja kabisa, ndomaana napenda kujadiliana na Saveya ndo angalau ana akili, hata akisema ana degree, tunaamini.TRA hamna darasa la saba wala form four labda ukafagie ,baki huko hakuna waliofeli form four huko🤣
Total loss hiiNarudia tena sijadharau taasisi yoyote na ndio maana mwanzo kabisa nilisema taasisi zote zina umuhimu wake ila Jeshi lina umuhimu zaidi kwenye huu ulimwengu wa machafuko ko acha kutafuta sababu kuwa nimedharu.
Kingine acha kuongelea nchi za watu tuko hapa kuongelea kuongelea nchi yetu Tanzania acha kufananisha bongo na nchi za ulaya kwamba eti kwakuwa wao hawana Jeshi eti na sisi labda lisiwepo utoboi wewe siku haiishi unachinjwa vizuri na unakuwa mwisho wa kukaa kwa shemeji yako yani kusingekuwa na Jeshi we sahivi usingekuwa una type hapa.
Wewe na Tanzania yako kipindi cha korona ilikuaje mbona ulitoboa bila ya hata hao nadaktari na na ulikuwa unajifungia chumbani kwako huku ukijifukiza na ukatoboa vizuri tu.
Unaweza ukaishi bila madaktari na ukaishi vizuri tu na mambo yakaenda tu ila bila ulinzi wa taifa hili we sahivi ungekuwa ushakimbia upo hata huko Botswana.
Zinn hapo bila posho
🤣🤣🤣🤣🤣Acha uongo ,Hao wanaoendesha bodaboda ni vyeo vya chini, maafisa hawaruhusiwi, ndomaana nikasema circle yako ya JW unayoishi nayo ni ya vyeo vya chini, unageneralize kwa watumishi wote wa JW.
Unalazimisha standard ni ushamba kiasi gani ,mnalazimisha magari wakati hamtengenezi ni vitu vya kuletwa 🤣🤣🤣..Ogopa sana wanaovaa masharti meupe ,mnapewa mikopo ni miradi ya upigaji nanyi mnachukua ...Hamna maendeleo.Ona akili zako zinazoonyesha huna upeo wa kujenga hoja kabisa, ndomaana napenda kujadiliana na Saveya ndo angalau ana akili, hata akisema ana degree, tunaamini.
Unalazimisha standard ni ushamba kiasi gani ,mnalazimisha magari wakati hamtengenezi ni vitu vya kuletwa 🤣🤣🤣..Ogopa sana wanaovaa masharti meupe ,mnapewa mikopo ni miradi ya upigaji nanyi mnachukua ...Hamna maendeleo.
Sasa unabishana na mimi? Hata Saveya Kanisapoti kwa hiyo hoja🤣🤣🤣🤣🤣Acha uongo ,
Unaandika sana vitu havina maana ,usilazimishe standards 🤣🤣🤣Posho unapewa hakuna kufuatiliwa una gari wala nn...Unaongea kitu gani hicho? Hata wewe umeelewa sentence uliyoisema? Kwahiyo nyie ndo mnatengeneza magari?
Unaandika sana vitu havina maana ,usilazimishe standards 🤣🤣🤣Posho unapewa hakuna kufuatiliwa una gari wala nn...
SawaBado ni upotoshaji, tafuta kazi ukafanye
Wewe hautaji basi tuendeleee tu basi ,mngekuwa na mafanikio acheni mikwara .Hueleweki hebu subiri pombe ikuishie ndo uje kujadili
Hoja sita hujajibu unaropoka ropoka kama unaimba taarabu.Wewe hautaji basi tuendeleee tu basi ,mngekuwa na mafanikio acheni mikwara .