Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Ofisa wa tra anakula mara 3 ya huo mshahara, bado extra duty, housing, communication, nk
 
Bro pesa ya nyumba ya afisi taasisi fulani mwaka 2020 ilikuwa ni 600k...Ana pesa ya mawasiliano , ana mpaka pesa ya parking wka rate ya 10k per day ...Jeshini bado sana ,naishi nao mpaka kesho hauwezi kujidanganya....🀣🀣Jeshini ungeona watoto wa CCM wote ,japo Mhe.Kikwete alikuwepo na kuongeza maslahi ila hakuna mwanamke ... Jeshini wengi wanaishi kwa mikopo ,kawaida sana labda wapige mshindo qa kwenda vitani...Sasa hizo taasisi kwa mwaka 2023 walishatoka mishahara ya 2.5 wako juu.

Kozi wanaenda kwa miaka miwili hapa tunalinganisha na afisa wa taasisi mwenye training za kutosha ,safari za kikazi ,afisa mwenye posho ya sikukuu ...Afisa ambaye ana sitting allowance ,ana posho mpaka ya vocha ya simu ..Ulishawahi kusikia pale TPA watu kikao walipewa bahasha zina laki 5 ...Miala ya Magufuli ile ,watu wanakilinda ofisi kama 50k daily wanafanya watakachp ni kama pesa ya karanga.


Kuna pale Dp world kuna wana wanacertifcate wanavuta mil 4 ...Nje ya pesa ya msosi,overtime na vitu vingine vingi ...Wewe unacheza ...Weka mshahara wa luteni wako niweke entry level ya afisa pale ,BOT,TCAA ,TASAC ,UWERA ,TCRA...
 
Ofisa wa tra anakula mara 3 ya huo mshahara, bado extra duty, housing, communication, nk
Huyo jamaa anacheza sana sidhani kam ni mzima ,hizo posho ndiyo atakimbia ,housing unakuta ni laki 7 ,huku kuna pesa ya tafadhari laki 6 ,huku kuna hivi ...Vitu vingi watu wanakula pesa. Tena ogop sana hawa wenye mishahara ya mil 3 pesa nyingine wamezificha kwenye kichaka cha posho
 
Mwongo huyo ...Wanajeshi wana advntage ya mikopo tu na hizo posho zao ila hawa darasa la saba hawafiki 1.5. Mil.
Kumbe unaoishi nao ni darasa la saba, ndomaana unasema hivyo. wenye nyota unajua wanalipwaje?
 
Hizo data ni za uongo, ni pesa ndogo hizo zinazotajwa, ila katu siwezi kutaja mishahara yao humu.
 
Nilichogundua ww hauna uelewa na maswala ya majeshi yote ya ulinzi na usalama kuhusu malipo yao na ndio maana mpaka ADC unasema Afisa mkubwa wa jeshi ngoja tuendelee kukusikiliza na kukupuuza tu.
Huyo kwanza jeshi halijui, achana nae, hajui hata vyeo vyao.
 
Kwamba jeshini ukisoma sana ndo unakuwa na mshahara mkubwa dah 😒
 
Ni kweli kuna taasisi zinalipa, ila kupata kazi huko sasa ndo mtihani. OK makamanda wamelipwa Chao juzi, we hujalipwa, unasemaje?
 
Huyo hajui jeshi achana nae utapoteza muda, hata wewe huo mshahara wa private ulioutaja ni mdogo, currently siyo huo, hapo hujaongezea taaluma za vyuo vikuu alivyosoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…