Mm mwnyw nngepita na roho zao
Siwez kuteseka huko afu pesa iliwe kizembe, bora tufe wote tuu kudadeki
Wazazi wetu wanatuumiza sana wakati mwingine ukijiweka kwenye nafasi yake utaelewa kwann imekua rahisi kufanya alichokifanya struggle ya miaka kumi alafu hakuna kila kitu dah.Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu ukienda kama foreigner asiyekuwa taaluma basi utapiga kazi za kila aina, waswahili wanasema utakuwa kilaka.
Sasa mjuba inasemekana alikuwa akipata gigs basi anatuma Bongo hili Baba zake wamnunulie kiwanja mixture kumsaidia ujenzi. Kumbe wale wazee wanazitafuna tu kibingwa, kama unavyojua Baba mzazi ana miaka 48 na Baba mdogo 37 hivyo bado nguvu za kitafuna maisha wanazo.
Hapa katikati ikatokea vurugu za Xenophobia huko Afrika Kusini, raia wa Kiafrika ambao ni wageni wakaanza kufukuzwa kurudi kwenye nchi zao. Dogo janja nae akarudi Bongo huku akiwa anamategemeo kukuta Baba zake wamemfanyia maendeleo. Anafika home anakuta chenga, anauliza pesa wapi au maendeleo wapi, anapigwa Kiswahili.
Dogo akaona hii miyeyusho, stress zikaanza kuwa nyingi ukiangalia umerudi Bongo bila chochote ukitegemea kukuta pesa zako zimekujengea nyumba na kuleta maendeleo. Ukijumuisha na kurudi Bongo na kuanza moja bila kazi basi dogo akadata zaidi. Ndio akapiga lile tukio.
Mzee nchi za watu mateso kibao! Unalala chini ya daraja siku 4 hujaoga. Madem unawaona kwenye tv tu barid lako mvua yako. Usiku mvua inanyesha unasimama mpaja asubuh eneo unalolala limejaa maji!Mambo ya kulealea ujinga yafike mwisho
Jamii forum hii kuna mtu wa kupoteza bilioni?Bilioni? Wewe kwako ni ndogo, Mwingine ame
Anakula timing Mzee kuwapatia wote wawili
Sahihi kabisa mzee, mm Siwez kuwaacha bora tukafe wote huko aiseeJamaa mpaka anafika south afrika usikute kajilipua tu, hana ndugu paspot kaipata kwa mbinde mzee wake yupo tu hajamsaidia lolot. Ah kumamae mm naondoka na roho ya mtu
Bora hilo kuliko uraian ukiwa umefelishwa na kima yuko hai we umepambana kufa na kupona yeyeBado haimpi uhalali wa yeye kuua mtu. Tushampoteza huyo. Hapo lazima life yake inaishia jela.
Hii ndiyo taarifa ambayo na mimi niliiona kupitia taarifa ya habari. Mwenyekiti wa mtaa ameeleza vizuri kabisa alichokisikia.Inawezekana kuna ukweli kwa sehemu, lakini ukiangalia hii habari ya Mwananchi, dogo haoneshi kama alikuwa na pesa ya kutuma toka Afrika ya Kusini. Alikuwa lofa tu.
Simulizi ya familia
"Nilijikaza moyo kushuhudia ndugu zangu wakifukuliwa, lakini nilichokiona siwezi kukisahau maishani. Walikuwa wameuawa kikatili na kufukiwa. Hatujui walifanyiwa nini kabla ya kuuawa, lakini kwa sasa tunachoomba ni haki itendeke." amesema dada mkubwa wa familia, Mwanahamis Omary.
Kauli hiyo inaakisi maumivu yanayoikabili familia ya Omary baada ya kupoteza ndugu zao wawili, Ally Omary, maarufu Bob aliyekuwa kondakta wa daladala za Masaki-Simu 2000, na kaka yake, Hamza Omary, maarufu King Hamza, aliyekuwa akijishughulisha na biashara ya kukusanya makopo ya plastiki.
Akizungumza na Mwananchi leo Julai 18, 2026, Mwanahamisi amesema walipoteza mawasiliano na ndugu hao usiku wa kuamkia Julai 17 mwaka huu baada ya simu zao kutopatikana, jambo ambalo halikuwa la kawaida.
"Tulikuwa tunawapigia simu lakini hazikupatikana. Hilo halikuwa jambo la kawaida kwao. Ndipo tukaanza kuwa na hofu. Baada ya muda nikapigiwa simu niambiwe nifike hapa nyumbani kwa sababu kuna tatizo. Nikawaambia waniweke wazi kama kuna msiba nikihisi Ally amefariki kwa sababu hakuwa anapatikana," amesema Mwanahamisi.
Kuhusu chanzo cha tukio hilo, Mwanahamisi amesema bado hawana majibu ya uhakika. Hata hivyo, amesema kabla ya tukio Hosamu alikuwa akidai nyumba hiyo ni urithi alioachiwa na babu yake na kutaka kuishi humo pamoja na mpenzi wake.
Amesema madai hayo hayakuwa ya kweli, kwa kuwa suala la umiliki wa nyumba hiyo halikuwa kama mtuhumiwa alivyokuwa akidai.
Kuna siku huyu kijana alisema nyumba hii aliachiwa na babu yake kama urithi kabla hajafariki, jambo ambalo limetushangaza. Tangu baba yetu aanze kuugua hadi anafariki, huyu kijana hakuwepo. Ndiyo maana tunashangaa anapodai aliachiwa nyumba hiyo kama urithi," amesema.
Naye, Husna Omary, ambaye ni shangazi wa mtuhumiwa Hosamu amesema kabla ya tukio hilo la mauaji kijana huyo alikuwa akijihusisha na matumizi ya bangi baada ya kurejeshwa kutoka Afrika Kusini Julai 2025.
Hosamu tumemlea sisi wenyewe hapa. Baadaye alichukuliwa na mjomba wake kwenda Afrika Kusini. Alirudishwa mwaka jana na akaenda kuishi kwa mama yake Gongo la Mboto. Kutokana na vituko alivyokuwa akimfanyia mama yake na baba yake wa kambo, alifukuzwa saa 10 alfajiri kisha akarudi hapa baada ya miezi miwili tu," amesema Husna.
Imagine huyo dingi anakaa mwananyamala kwenye jumba la urithi ataweza kumjengea mtoto kweli?Dogo alikuwa mtumia mihadarati nini? Kama huyo mzazi wake alizichikichia angekausha tu msala upite. Huyo dingi naye ni kauzu tu, mtoto anatuma hela afanyiwe maendeleo halafu yeye anazitafuna bila haya, madingi mengine hamnazo kabisa
Longtime no see!Uko poa wizzy?Kwenye kuua hakunaga justification yoyote
Upo Sahihi Nimewahi Kumwamini Mtu wa Karibu Sana Kumbe Ananizunguka! Bahati yake angetangulia akhera. Trust Nobody!Kuna vitu vinauma gademit
Hakikisha wanaokuzunguka hawakuzunguki
Miaka 10 mkuu upo nchi za mbali huko uje uludi uanze upya hata kama yesu asinge samehe mapemaJe! Tatizo ni kubeba watu moyoni na kutosamehe!?
Niko vizuri mno hofu kwako dada ake😃Longtime no see!Uko poa wizzy?
Kama ni kweli basi dogo yupo sahihi kabisa kuwachinja hao wazazi wake wapumbavu ...wazazi wa namna hiyo ni sawa na ccm tuMsela mavi kutoka kaburu,karudishwa na dege la umoja kufika bongo kaona usela mavi dili🤣🤣🤣🤣🤣
Bamdogo na dingi yake wamemuweka sawa akaona sio powaa akaleta usela mavi wa South africa wa kuwapiga mapanga na kuwaua kasahau kwamba bongo sio kaburu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yule wamembeba sasa hivi anajuta analia na kugalagala kwa serikali ya bongo anapotea mazima akitoka gerezani basi ni kabirini tuu🤣🤣🤣🤣
Alikuwa anadhani yupo dizonga kwamba ukiua miezi 6 ndani miezi 6 upo nnje🤣🤣
Huu usela mavi na tabia za kuiga wanangu mtapotea siku hizi kila msela mavi na machafuchafu wana MAPENGO 🤣🤣🤣
Siku hizi kuwa msela mavi lazima uwe na MAPENGO AU PENGO kama huna hayo basi lazima uwe na ile MIMENO FAKE YA GOLD AU SILVER🤣.
Wanangu tutafuteni pesa na tuzingatie home pia heshima na kuheshimu kila mtu ni kitu muhimu sanaaaa kwenye maisha yetu ya kila siku kuna leo na kesho hakuna anayejua kesho yake🤣.
Comment ya mdau wa Mwananyamala👇👇👇👇
mimi nipo mwananyamala ambapo limetokea ilo tatizo inasemekana jamaa alikuwa yupo south afrika kwa zaidi ya miaka 10 na alikuwa anatuma ela ili mzee wake amjengee ila cha kushangaza amerudi hakuna ata mahala palipojengwa wala ata uwanja ujanunuliwa ndipo alipoamua kuwapiga mapanga baba yake mzazi na baba yake mdogo
credit : FBView attachment 3632017