Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Huyu ni njaa tu, tena nashuku sana hio phd yake, lazima iko kaa phd ya jiwe, mtu anasema ako phd ila PRINCIPLES HANA, njsaa tu ndio ako nae, apewe kazi mkuu wa mkoa, mwanza au geita,
 
Tuombe sana, tunakaribia kipindi ambacho wananchi watadai wanachokitaka bila kutumia chama, hapo ndipo mtajua kwa nini wazungu huwaita waafrika manyani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakufa wewe na ukoo wako woote lkn cdm itaendelea kupaa kwani mikono ya mungu imeikumbatia
Nyie ndio tegemeo la Mbowe kuendelee kuneemeka hapo chadema huku chama kinakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_1487930157486.jpeg


In God we Trust
 
sangujoseph,
Uchambuzi wa kijinga na kipumbavu. Ebu jiulize hao wote waliounga mkojo juhudi mbona CHADEMA inaimarika kila siku Hadi michakato ya chaguzi za serikali za mitaa zinahujumiwa na chama pendwa?

Bahari huwa haikai na kibudu.
 
Mambo ya demokrasia hayo makamanda


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hii hama hama ya viongozi wakubwa kwenye vyama hasa vya upinzani kwenda tawala, ni dalili mbaya kwa ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla.

Wananchi wote kuwa na fikra na mwelekeo mmoja kama nyumbu ni tatizo kubwa sana. Huu ni uthibitisho kuwa bado kuna umasikini mkubwa wa fikra na mali hivyo siasa za kjima.

Viongozi wengi wa kisiasa hupata madaraka wasiostahili kwa kulingana na uwezo wao kifikra na pia mahitaji ya jamii husika kwa wakati huo.
 
Mbowe aliivuruga Chadema alipowafrustrate makatibu wazoefu kwenye chama Salum Mwalimu na John Mnyika kwa kuwaletea mtu asiye na background yoyote kwenye chama awe bosi wao. Nashangaa kwanini hawakumwuliza Mbowe kuhusu uzoefu wa Dr Mashinji ndani ya chadema
 
Wasaliti wote waende tubaki wapinzani wa dhati. Huyu alikuwa mzigo tu ndani ya Chadema.
Haya CCM sasa kimekuwa chama cha kupokea Makapi.
 
Back
Top Bottom