Na wajinga wanashangilia! Kwanini hawakumfukuza?Chadema watolea ufafanuzi Dr. Vicent Mashinji Kwenda Ccm Wasema tulikuwa tunalijua ndio maana tulimpumzisha kwenye uchaguzi uliopita
Ukisoma cv yake hapo juju ndio unajiuliza ngozi nyeusi tunakwama wapi? Uyo mtu sio wa kuangaika na kina Polepole
Wao waliamua kwenda ccm so we unaweza kuja na kitu tofauti si lazima mfanane, nenda UDP ukamuunge mkono mzee CheyoWote walioondoka cdm kuna aliyeenda CUF au TLP?
Kuna "ideologica discontinuity" baina ya vyama ulivyovitaja na CCM/ CHADEMA na hutaona "flow" ya makada kuelekea huko!Wote walioondoka cdm kuna aliyeenda CUF au TLP?
Je hii picha ndio itamrudisha Mashinji na kuimarisha CHADEMA? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio tegemeo la Mbowe kuendelee kuneemeka hapo chadema huku chama kinakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.
Atuombe radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu usaliti wa Mbowe utakitafuna CHADEMA miaka mingi ijayo.!
Umeandika huku roho inauma.Wasaliti wote waende tubaki wapinzani wa dhati.
Huyu alikuwa mzigo tu ndani ya Chadema.
Haya CCM sasa kimekuwa chama cha kupokea Makapi..
Umeandika huku roho inauma.