Chama ni wapiga kura, sio viongozi wanaokimbia.Mimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.
Atuombe radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombe sana, tunakaribia kipindi ambacho wananchi watadai wanachokitaka bila kutumia chama, hapo ndipo mtajua kwa nini wazungu huwaita waafrika manyani
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika kwa uchungu sana😡😡😡😡 Aende tu...tuko imara leo kuliko jana
Kwl kabisa...Umeandika kwa uchungu sana
Pigia mistari mkuu.Aisee unataka kusema alipenyezwa?
feyzal,
Wabunge wengi mliokua nao leo ni kwa ajili ya Lowasa.
Huyo ni mkweli kabisa kasema njaa ndiyo imempeleka hukoJamaa kaunga juhudi
Leo CCM ndiyo mmeona madigrii ya Mashiji?Huko chadema alijipoteza tu. Madigrii tote hayo asingeweza kufanya kazi kwa ufanisi na mwenyekiti ambaye hata A level hakwenda. Kwanza akisoma tu wasifu wako ananywea na kudhani unatishia ufalme wake.
Sio kweli kwa jinsi mambo yalivyokuwa ule mwaka tungepata wengi zaidi hata bila ya lowassa....kile ni kipindi ambacho SISIEMU ILIPOTEA KABISA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho inakuuma mkuu. Kubali tu.Sawa Humphrey Pole Pole chukueni Makapi hayo itainua uchumi kwa asilimia 9.
Specialist dokta anayo njaa?Amefanya jambo jema sana. Maana njaa ingemuua