Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Madaktari njaa sana aiseeeh! Hawaoni aibuu!?

Actually huyu alishaunga juhudi toka akiwa Katibu Mkuu CHADEMA, anachofanya ni kuhitimisha tu!

Kama kuna mtu anajua Mashinji akiwa katibu mkuu alifanya kipi kuimarisha CHADEMA aniambie! Karibu kundini
 
Kwahiyo ile Kesi yake iliyokuwa ikimkabili Yeye na Viongozi ( Wabunge ) wa CHADEMA atakuwa ameshanusurika nayo au atakuwa akiendelea Kuihudhuria huku akiwa amevalia Sare ya Chama chake Kipya?

Hapo ndipo tunasubiri kuona itakuwaje.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…