Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

Madaktari njaa sana aiseeeh! Hawaoni aibuu!?

Actually huyu alishaunga juhudi toka akiwa Katibu Mkuu CHADEMA, anachofanya ni kuhitimisha tu!

Kama kuna mtu anajua Mashinji akiwa katibu mkuu alifanya kipi kuimarisha CHADEMA aniambie! Karibu kundini
CHADEMA walisema huyu ndio katibu msomi kuliko wote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo ile Kesi yake iliyokuwa ikimkabili Yeye na Viongozi ( Wabunge ) wa CHADEMA atakuwa ameshanusurika nayo au atakuwa akiendelea Kuihudhuria huku akiwa amevalia Sare ya Chama chake Kipya?
.Mkuu wacha tu
 
Back
Top Bottom