Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliyategemea haya!Mwanaume msomi anapopenda njia nyepesi kupata kula anaweza hata kutoa tako lake ili afurahishe mdomo wake kwa chakula kitamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeanzisha chama chake ili tuwaone hao wafuasi wake, au angeenda TLP tungewaona kwa uhakika hao wanachama wake.
Selasini naamini yupo kimwili tu lakini kiroho alishahama siku nyingi sana
Hata mimi nina mashaka,huyu katolewa na CHADEMA kwenda CCM kama kondoo wa tambikoMimi si mwanasiasa ila hili CCM inabidi wawe makini isije ikawa ni Trojan Horse, just thinking by words
Swali fikirishi je kesi yake atafutiwa baada ya kuhamia upande wa pili? inayo wahusu viongozi wajuu wa Chadema
Kwani chama kilikuwa cha Mbowe peke yake au kule CC yeye ndiye alikumjumbe peke yake?Mimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.
Atuombe radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahamaji
Na mimi hapa,maana nilishakula kiapo siwezi kuwa CCM kwa hiari labda nishikiwe bundukiMpaka October 2020 chadema atakuwa kabaki Mbowe, Yericko Nyerere na Tindo wa JF[emoji3][emoji38]
Bora chama Cha mapinduzi kimekuwa wazi kabisa,kinapindua pindua tuWataelewa tu
Kule hakuna Chama kuna Wachumia tumbo tu
Eti chama cha Demokrasia
Demokrasia ya Maandishi uhalisia Zeri
Una chuki binafsi Na mbowe,mbowe ni mtu muhimu kwenye chama hiki,one day u will come to believe this.Mimi bado nasema Mbowe ana stahili kuubeba huu mzigo wa lawama 2015 alitukosea sana Kumpa Lowassa....wale waliopigania chama kwa moyo mmoja walitengwa kwenye baadhi ya maamuzi mazito leo upinzani umelegea.
Atuombe radhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha mkuuNa mimi hapa,maana nilishakula kiapo siwezi kuwa CCM kwa hiari labda nishikiwe bunduki
Sent using Jamii Forums mobile app