mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Mdosi au? Maana CCM ndio zao na wadosi , wanaotafuta maficho ya maovu yao kibiashara. Al in all RIP
Wawekwe karantini kwa nini?Kwa Wale Wagumu wa kuelewa, hili ni swali na sio msimamo wala nini? Tarehe 16/04/2020 pichani PM akiwa na Marehemu, je wakawekwe karantini??
View attachment 1430617
Sababu ziko wazi, soma kiambatanisho kina majibu.Wawekwe karantini kwa nini?
Usiseme watu wanachukia rangi hakuna mtu anae chukia rangi sema misukule ya ufipa haina ufahamu haipendi rangi ya chama tawala imezoea ile rangi ya kakhi Kama za wagambo zile za Sacco's ya DJ makengeza [emoji23][emoji1787][emoji2960]Mara ya kwanza waliweka amevaa vazi la ccm,Moderate amebadilisha na kuweka ya scout baada ya watu kuchukia marangi ya kijani
Duh Sasa unaleta ubaguzi sababu ya rangi hii ndio sera mpya ya ufipa au maana mlianza na ukabila mkaja na ukanda mwisho mtaleta udini zambi ya ubaguzi mbaya sanaMdosi au? Maana CCM ndio zao na wadosi , wanaotafuta maficho ya maovu yao kibiashara. Al in all RIP
Karantini hawekwi isipokuwa mgonjwa aliyejulikana ana ugonjwa.Sababu ziko wazi, soma kiambatanisho kina majibu.
Toka lini Waislam wakachelewesha kuzika?Hakuna kuchelewesha.
Ndilo tatizo la nyinyi uchwara wa CCM. Siyo ishu ya ukabila. Wadosi wote wako CCM kulinda biashara zao, siyo kuwa wanaipenda CCM!Duh Sasa unaleta ubaguzi sababu ya rangi hii ndio sera mpya ya ufipa au maana mlianza na ukabila mkaja na ukanda mwisho mtaleta udini zambi ya ubaguzi mbaya sana
herin kwako uliyepo huko dunianiWawekwe karantini kwa nini?
Mbona jiwe yupo karantini chato husemi?Karantini hawekwi isipokuwa mgonjwa aliyejulikana ana ugonjwa.
Mbowe na familia yake waliwekwa karantini?
Hivi na hali hii mtafukunyua mwili kuondoa "chakula"Toka lini Waislam wakachelewesha kuzika?
Nchi ndio ihame mimi siwezi kuhama kamweHuyo ni Kamanda wa scout Tanzania, unawajuwa scouts ni nani?
Hayo ni mavazi rasmi ya scout Tanzania. Na hizo rangi za scarf ana badge aliyovaa ni rangi unazoziona kwenye bendera ya Tanzania. Kama huipendi bendera ya Tanzania hama nchi.
Sasa hivi hakuna CCM hakuna chadema, hakuna maziko ya kujazana kungoja pombe za bure au pilau la msibani.Bora ni ccm......Ok atazikwa na watu wangapi?
Sijakuelewa ulichoandika.Hivi na hali hii mtafukunyua mwili kuondoa "chakula"
Nakushauri tu acha ubaguzi wa aina yeyote rangi ukabila dini mwenye ufahamu anajua ulikomment kwa Nia gani tuendelee na jukwaaNdilo tatizo la nyinyi uchwara wa CCM. Siyo ishu ya ukabila. Wadosi wote wako CCM kulinda biashara zao, siyo kuwa wanaipenda CCM! Huo ndo ukweli ! Hata matajiri waafrika wenzetu wengi wako CCM kulinda biashara zao, ingawa Jiwe kidogo kwa mbali ametikisa akina Rugemalila walokuwa CCM damu....
Na kwa mfano kwa Hali hii mnakaa kweli na maiti siku tatu nne na kuanza kupanga foleni kuishangaa auHivi na hali hii mtafukunyua mwili kuondoa "chakula"
Ikiwa hivyo naona wana akili sana ya kulinda biashara zao kama wanaona wakiwa CCM biashara zao zitafanyika kwa usalama na amani.Ndilo tatizo la nyinyi uchwara wa CCM. Siyo ishu ya ukabila. Wadosi wote wako CCM kulinda biashara zao, siyo kuwa wanaipenda CCM! Huo ndo ukweli ! Hata matajiri waafrika wenzetu wengi wako CCM kulinda biashara zao, ingawa Jiwe kidogo kwa mbali ametikisa akina Rugemalila walokuwa CCM damu....