TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah(Burji) afariki dunia

Mwigulu hajawahi kuvaa nguo za scout.

Mwigulu ni Mtanzania na alikuwa akifunga scarf ya bendera ya Tanzania na hajaacha kufanya hivyo.
uhovyo wake nini?
Kuchora mawe/majabali: Chalinze - Mwanza; Chalinze - Arusha, Chalinze -Songwe: 'Mwiguli Rais wa Tanzania 2015' ni zaidi ya uhovyo. Mtu aliyediriki kuchafua majabali kwa rangi nchi nzima wewe unamwona wa kawaida?
 
Ikiwa hivyo naona wan akili sana ya kulinda biashara zao kama wanaona wakiwa CCM biashara zao zitafanyika kwa usalama na amani.

Tatizo nini hapo?
Siyo akili ni kupata upenyo wa kufanya uhalifu wa kibiashara... eg madawa ya kulevya, kutolipa kodi etc na kutetewa na system!
 
Nakushauri tu acha ubaguzi wa aina yeyote rangi ukabila dini mwenye ufahamu anajua ulikomment kwa Nia gani tuendelee na jukwaa
Nia ipi? alikuwa analinda maliz ake ili apate favour kutoka serikalini. Hakuna ubaguzi wa aina yoyote Wadosi wanafahamika na wote ni ccm na siyo kwa vile wanaipenda. Wanatafuta kichaka cha kufanya maovu ya kibiashara zao. Usinitishe na lolote. Ukweli ni huo. RIP
 
Siyo akili ni kupata upenyo wa kufanya uhalifu wa kibiashara... eg madawa ya kulevya, kutolipa kodi etc na kutetewa na system!
Kama ni hivyo basi hiyo ni akili ya ziyada. Maana wewe umebaki kulalamika lakini unashindwa kuchukuwa hatua yoyote, au hujuwi kuwa Tanzania watu wanapiga kura kuchagua mtu na siyo chama? Kwanini usimipigie kura ambae unataka awe kiongozi wako?

"Wadosi" wanawapigia wanaoona watawafaa kwa maslahi yao. Sasa wewe unapiga kura kwa maslahi ya nani? Fikiri.
 
Nia ipi? alikuwa analinda maliz ake ili apate favour kutoka serikalini. Hakuna ubaguzi wa aina yoyote Wadosi wanafahamika na wote ni ccm na siyo kwa vile wanaipenda. Wanatafuta kichaka cha kufanya maovu ya kibiashara zao. Usinitishe na lolote. Ukweli ni huo. RIP
Wewe utakuwa huna muono kabisa kwani kila unaempigia kura hawi kiongozi wa kulinda maslahi yako.

Mpaka sasa 'wadosi" wamekupiga ngapi kwa Bila?
 
Wewe utakuwa huna muono kabisa kwani kila unaempigia kura hawi kiongozi wa kulinda maslahi yako.

Mpaka sasa 'wadosi" wamekupiga ngapi kwa Bila?
Maono ya wizi? hayo sina! kama Jiwe alivyo na maono ya wizi, hayo sina! Niko kama Nyerere na sokoine
 
Maono ya wizi? hayo sina! kama Jiwe alivyo na maono ya wizi, hayo sina! Niko kama Nyerere na sokoine

Hapo ndipo maono yako yalipoishia ndiyo, wizi wamekushinda kwa kuona mbali.

Msalimie Mtei, maono ya Nyerere na Sokoine yalimfukuza kazi serikali yake.

Maono ya Nyerere na Sokoine ndiyo yaliitengeneza CCM au siyo?

Ukijibu hayo utajielewa ulivyo huna maono.
 
Nyerere sio mbaguzi Kama wewe tazama video hii halafu uache ubaguzi ili ufanane nae.
View attachment 1430936
Sina muda wa video clips, Nyerere namfahamu kabla hujazaliwa. Hakuna udini. Ni ukweli. Mfano wahindi wote wana passport za "kwao" India na Uingereza na canada! Huo ndio ubaguzi kusema ukweli wao?
 
Sina muda wa video clips, Nyerere namfahamu kabla hujazaliwa. Hakuna udini. Ni ukweli. Mfano wahindi wote wana passport za "kwao" India na Uingereza na canada! Huo ndio ubaguzi kusema ukweli wao?
Mpaka hapa umeonesha hujielewi pili unajua umri wangu? Umezidi kufeli tatu Tanzania hatuna uraia pacha Kama ulaya na canada na marekani Wana uraia pacha kosa Lao lipi hao unao wabagua huoni unazidi kuonesha kuwa wewe mbaguzi ndugu acha ubaguzi,ni sawa na kula nyama yabinadamu huwezi kuacha
 
Back
Top Bottom