Uhuni unauleta wewe kijana! Kutenda mema kadhaa hakumpi mtu ruhusa ya kufanya mambo ya kishenzi kama aliyokuwa anafanya Makonda na Sabaya tena hadharani.Vp mkuu? Mbona umeshtuka km umekalia kitu chenye ncha Kali? Au ndio mkuki kwa nguruwe?
Unaamini Sabaya na Makonda hakuna mema waliyoytenda so hawastahili kukumbukwa? Au mtu ukimchukia wewe basi wote tunapaswa kumchukia?
Acha uhuni!
Unazeeka vibaya, na roho ya chuki itakuuwa kabla ya muda wako.Uhuni unauleta wewe kijana! Kutenda mema kadhaa hakumpi mtu ruhusa ya kufanya mambo ya kishenzi kama aliyokuwa anafanya Makonda na Sabaya tena hadharani.
Hao ni vijana washenzi na hawastahili kuishi na binadamu wastaarabu.
Brother,,mambio,Unazeeka vibaya, na roho ya chuki itakuuwa kabla ya muda wako.
nipe kesi mbili za Makonda ambazo anastahili kushtakiwa kwazo.
Naamini huna zaidi utasema alivamia clouds, jambo ambalo walishalimaliza na wakaombana msamaha. Hata hivyo mbona clouds wao hawajamshitaki?
Wewe tafuta za kwako acha kuishi kwa kuvizia vya wengine ndio utokwe jasho kutetea wahalifu humu. Unafikiri mahakama kuu iliyoridhia ashitakiwe wenyewe hawajui sheria wewe ndio unajua kuwazidi.Unazeeka vibaya, na roho ya chuki itakuuwa kabla ya muda wako.
nipe kesi mbili za Makonda ambazo anastahili kushtakiwa kwazo.
Naamini huna zaidi utasema alivamia clouds, jambo ambalo walishalimaliza na wakaombana msamaha. Hata hivyo mbona clouds wao hawajamshitaki?
Yaan wanajiona wao ni wasafi balaa hawastahili kuguswa wala kupingwa. Ukienda tofauti nao jiandae kupingwa na kutukanwa.
Walimbaka baba yako kenge mkubwa wewe!! Ina maana hukusikia vitendo vya Sabaya walivyo mlalamikia?Vp mkuu, walikubaka?
Hujui kitu kijana kwa vile uelewa wako ni kutokana na habari za magazetini tuu.Unazeeka vibaya, na roho ya chuki itakuuwa kabla ya muda wako.
nipe kesi mbili za Makonda ambazo anastahili kushtakiwa kwazo.
Naamini huna zaidi utasema alivamia clouds, jambo ambalo walishalimaliza na wakaombana msamaha. Hata hivyo mbona clouds wao hawajamshitaki?
Achana na bwege hilo, naanza kuhisi anaweza kuwa mchepuko wa Sabaya au shoga la Bashite.Walimbaka baba yako kenge mkubwa wewe!! Ina maana hukusikia vitendo vya Sabaya walivyo mlalamikia?
Mbona kwenye fedha alizonyang'anya kijambazi hujauliza kama kaniibia Mimi?
Nilidhani umetendwa wewe kumbe na wewe unasikia tu, pole sana!Walimbaka baba yako kenge mkubwa wewe!! Ina maana hukusikia vitendo vya Sabaya walivyo mlalamikia?
Mbona kwenye fedha alizonyang'anya kijambazi hujauliza kama kaniibia Mimi?
Sina shaka nilipokuambia unazeeka vibaya. Umeshindwa kutaja makosa ya Makonda unadai sababu 'USA walisema"Hujui kitu kijana kwa vile uelewa wako ni kutokana na habari za magazetini tuu.
Unadhani US ni wajinga mpaka kumzuia asiingie kwao kwa vile "anazuia haki ya kuishi wengine"?
Unaelewa maana yake? Na hayo yalitokea baba yenu Magu akiwepo why alikaa kimya? Nyamaza apelekwe mahakamani ndio mbivu na mbichi utazijua.
Believe you me it is a matter of time you can't step on people toes deliberately and with contempt and your let to walk Scot free. Binadamu wana akili nyingi sana hawatakubali.Hawamuwezi ni mjanja sn
Ngoja tuone lakini usishangae akateuliwa kuwa hata BaloziBelieve you me it is a matter of time you can't step on people toes deliberately and with contempt and your let to walk Scot free. Binadamu wana akili nyingi sana hawatakubali.
Labda wa jela.Ngoja tuone lakini usishangae akateuliwa kuwa hata Balozi
Kwa hiyo wewe ni mmojawapo wa mashoga mliokosa haki yenu kuuza marinda?Makonda ndiye mhalifu pekee aliyetajwa na Serikali ya US kuwa alikuwa akiwanyima watu haki ya kuishi.
Nakubaliana na mleta mada, ukilinganisha uovu wa Makonda na Sabaya, Sabaya ataonekana ni malaika.
Haki itendeke. Sabaya ni jambazi la kutumia silaha, Makonda aliwanyima watu haki ya kuishi (aliondoa uhai wa watu)
Mkuu ni kweli kabisa, la Ben Sanane lina ukweli mtupu, sasa ni wakati wa kujua ukweli ili japo familia wajue ukweli wa mwanao.Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS