Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Zikitokea kesi mbili tatu kama hizi Wasiojulikana watakimbilia Msumbiji
 
Hii nchi hata kwenye mambo ya kijinga inabidi utumie akili, hv kile cheti cha form four chenye division 0 kilitolewa na wizara ya elimu ya nchi gani.?
Anyway aliniboa sana alivoenda clouds na silaha.
 
Hawahawa clouds ccm?!
Mbona serikali ya CCM imembananisha Sabaya? Wao wanaogopa nini kwa sasa? Utawala wa vitisho umekwenda, waache uoga, Mother ni mtu wa haki bin haki!! Ukilikoroga utawala huu usitegemee Mother atampigia mtu simu akuokoe, utalinywa mwenyewe
 
Ukitaka Hapi akutoe nduki kwa sasa muambie aitishe press halafu aongee zile pumba zake alizokuwa anaongea kipindi cha jiwe!! Uzuri wa Samia hatumii nguvu nyingi na mikwara majukwaani, yeye ameshasema kalamu itaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…