Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Paulo hapo katika mwenendo wa tukio hilo, anatakiwa kupata jackpot ya kuburuzwa mahakamani kwa;

1) Ujambazi wa kutumia silaha (Armed Robbery).

2) Unyanyasaji/Uonevu (Abuse).

3) Matumizi Mabaya Ya Ofisi Ya Umma (Misuse Of Public Office).

4) Shambulizi La Kisaikolojia/Kimwili (Pyscholocigal Assault & Common Assault/Causing Griviously Bodily Harm).

5) Nia Ovu Ya Kufanya Uhalifu (Intent To Commit Crime).

6) Kuvunja Kiapo Chake (Breach Of Public Servant Oath).

7) Kuzua Taharuki Kwa Wafanyakazi na Wafanyabiashara (Stirring Up Chaos & Fear).

Note That; Haijalishi matendo yake kuyafanya ndani ya himaya yake ya kimadaraka (Territorial Jurisdiction), kuvunja sheria ni kuvunja sheria tu hata kama unacheo kikubwa kiasi gani. Mhalifu ni Mhalifu tu.

#MakondaAwajibishwe.
Jinai hazeeki kuna siku atalipa ufedhuli wake
 
Makonda akienda na Askari wa Jeshi la polisi, na ilikuwa ndani ya mipaka take ya utawala, tofauti na sabaya ambaye akienda na Watu wake Binafsi lakini pasipo kuhusishwa mamlaka za polisi
Kwani ukiwa ndani ya mipaka yako ndio Ruhusa kufanya uhalifu?
 
Kama ni wa kukamatwa ni wengi na sio Makonda peke yake.

Ccm imefanya watu wamekuwa na kiburi sana ktk nchi hii kiasi kwamba zaidi ya nusu ya watumishi katika ngazi mbalimbali wanastahili uwajibishwaji wa aina fulani.

Tatizo ni kukosa katiba inayozingatia maslahi ya nchi badala ya hii ya sasa ambayo iliundwa kulinda maslahi ya kikundi fulani cha watu huku ikikandamiza walio wengi.
 
Wakuu Kwema!

Kuomba msamaha ni ushujaa, msamaha ni neno la kijeshi katika mapambano.
Unapomkosea mtu akawa na uchungu na wewe basi jua kuwa ipo siku yako, Kama sio wewe basi moja ya kizazi chako.

Upepo unavuma, wenye macho haya tuliyaona miaka mitatu minne iliyopita, tuliandika na kuonya hasa Wale waliojitia Wana nguvu ambazo kimsingi hawana,
Nilishawahi kuandika na Leo narudia, ukipewa Cheo chochote iwe ni Urais,Uwaziri, u-IGP au Cheo chochote kile usije ukadhani wewe ni Mkubwa, huna ukubwa wowote, huna lolote,
Siku zote mkubwa ni yule atendaye haki, apendaye maagizo ya Mungu, mwenye upendo, asiye na fitna na hila, asiyeua wala kumwaga damu za watu wasio na hatia.

Vile unavyotumia nguvu kuonea watu, na kuwatesa watu hasa wasio na hatia ndivyo hivyo hivyo Mungu atatumia nguvu kukuonea na kukutesa.
Vile watoto wa watu ulivyowaua na kuwaangamiza wanavyoteseka, ndivyo hivyo hivyo watoto wako na kizazi chako kitakavyo Tessa na MUNGU.

Kila siku nasema Mungu ni mwaminifu, ana Haki. Huwezi Tesa watu alafu ati uishi Kwa Raha, haijawahi tokea na kamwe haitatokea. Ni suala la muda tuu.

Mungu hajakupa Cheo ili utese watu, Ili uwadhulumu watu, ili uwavuruge watu wake.

Kaka yangu, Kama utanisikia naomba uzingatia haya, tafuta uliowakosea Kama wapo, uwaombe Radhi, Watafute Kwa muda wako,
Usiende kuomba Mungu msamaha, huko unaenda kupoteza muda wako, Mungu haombwagi Msamaha,

Upepo unavuma, bendera uelekeo unaenda mashariki.

Kaka yangu ni Bora Mungu akulipe wewe kwani wewe ndiye uliyekosea kuliko kukuacha wewe na kuhamishia kipigo kwenye kizazi chako.

Baba alichelewa kujihami, alikurupuka kukiwa kumekucha, akakesha akiomba, akataja majina matamu ya Mungu Mkuu lakini hiyo haikumsaidia. Na nadiriki kusema, watoto walioachwa na Baba, mke na wajukuu wanapaswa waombe toba ya kweli kwani vita ya Mungu haimalizwi na kaburi. Vita ya Mungu haimalizwi na mauti, vita vya kibinadamu ndio halimalizwa na kifo.

Kaka yangu.
Bado hujachelewa. Tafuta uliowakosea uwaombe Radhi kuanzia mwakani 2022 mpaka 2025 utakuwa katika vita mbaya na Mungu Mkuu.

Nimekuambia mapema ili ujihami Kwa kuomba Msamaha Kwa uliowakosea ili Mungu aghairi.
Vinginevyo Mungu atakuwa mwaminifu kwako Kwa 100% kukutesa Kama ulivyofanya.

Mimi mdogo wako;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro
 
Wakuu Kwema!

Kuomba msamaha ni ushujaa, msamaha ni neno la kijeshi katika mapambano.
Unapomkosea mtu akawa na uchungu na wewe basi jua kuwa ipo siku yako, Kama sio wewe basi moja ya kizazi chako.

Upepo unavuma, wenye macho haya tuliyaona miaka mitatu minne iliyopita, tuliandika na kuonya hasa Wale waliojitia Wana nguvu ambazo kimsingi hawana,
Nilishawahi kuandika na Leo narudia, ukipewa Cheo chochote iwe ni Urais,Uwaziri, u-IGP au Cheo chochote kile usije ukadhani wewe ni Mkubwa, huna ukubwa wowote, huna lolote,
Siku zote mkubwa ni yule atendaye haki, apendaye maagizo ya Mungu, mwenye upendo, asiye na fitna na hila, asiyeua wala kumwaga damu za watu wasio na hatia.

Vile unavyotumia nguvu kuonea watu, na kuwatesa watu hasa wasio na hatia ndivyo hivyo hivyo Mungu atatumia nguvu kukuonea na kukutesa.
Vile watoto wa watu ulivyowaua na kuwaangamiza wanavyoteseka, ndivyo hivyo hivyo watoto wako na kizazi chako kitakavyo Tessa na MUNGU.

Kila siku nasema Mungu ni mwaminifu, ana Haki. Huwezi Tesa watu alafu ati uishi Kwa Raha, haijawahi tokea na kamwe haitatokea. Ni suala la muda tuu.

Mungu hajakupa Cheo ili utese watu, Ili uwadhulumu watu, ili uwavuruge watu wake.

Kaka yangu, Kama utanisikia naomba uzingatia haya, tafuta uliowakosea Kama wapo, uwaombe Radhi, Watafute Kwa muda wako,
Usiende kuomba Mungu msamaha, huko unaenda kupoteza muda wako, Mungu haombwagi Msamaha,

Upepo unavuma, bendera uelekeo unaenda mashariki.

Kaka yangu ni Bora Mungu akulipe wewe kwani wewe ndiye uliyekosea kuliko kukuacha wewe na kuhamishia kipigo kwenye kizazi chako.

Kaka yangu.
Bado hujachelewa. Tafuta uliowakosea uwaombe Radhi kuanzia mwakani 2022 mpaka 2025 utakuwa katika vita mbaya na Mungu Mkuu.

Nimekuambia mapema ili ujihami Kwa kuomba Msamaha Kwa uliowakosea ili Mungu aghairi.
Vinginevyo Mungu atakuwa mwaminifu kwako Kwa 100% kukutesa Kama ulivyofanya.

Mimi mdogo wako;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro
Huko kuna cctv camera zinazokimbizana na magari hawezi kutoka.
 
Kunyima watu haki za kuishi sio jambo Dogo aisee.

Kwenye maisha siku zote ogopa kufanya kitu usichoweza kulipa fidia,

Ogopa kuua hasa MTU asiye na hatia, ogopa Sana hiyo.

Mungu aumbe watu wake alafu wewe ujitie unanguvu mpaka kuua,.

Tuombe uzima ili ujionee mambo haya Kwa macho yako mwenyewe
 
Wakuu Kwema!

Kuomba msamaha ni ushujaa, msamaha ni neno la kijeshi katika mapambano.
Unapomkosea mtu akawa na uchungu na wewe basi jua kuwa ipo siku yako, Kama sio wewe basi moja ya kizazi chako.

Upepo unavuma, wenye macho haya tuliyaona miaka mitatu minne iliyopita, tuliandika na kuonya hasa Wale waliojitia Wana nguvu ambazo kimsingi hawana,
Nilishawahi kuandika na Leo narudia, ukipewa Cheo chochote iwe ni Urais,Uwaziri, u-IGP au Cheo chochote kile usije ukadhani wewe ni Mkubwa, huna ukubwa wowote, huna lolote,
Siku zote mkubwa ni yule atendaye haki, apendaye maagizo ya Mungu, mwenye upendo, asiye na fitna na hila, asiyeua wala kumwaga damu za watu wasio na hatia.

Vile unavyotumia nguvu kuonea watu, na kuwatesa watu hasa wasio na hatia ndivyo hivyo hivyo Mungu atatumia nguvu kukuonea na kukutesa.
Vile watoto wa watu ulivyowaua na kuwaangamiza wanavyoteseka, ndivyo hivyo hivyo watoto wako na kizazi chako kitakavyo Tessa na MUNGU.

Kila siku nasema Mungu ni mwaminifu, ana Haki. Huwezi Tesa watu alafu ati uishi Kwa Raha, haijawahi tokea na kamwe haitatokea. Ni suala la muda tuu.

Mungu hajakupa Cheo ili utese watu, Ili uwadhulumu watu, ili uwavuruge watu wake.

Kaka yangu, Kama utanisikia naomba uzingatia haya, tafuta uliowakosea Kama wapo, uwaombe Radhi, Watafute Kwa muda wako,
Usiende kuomba Mungu msamaha, huko unaenda kupoteza muda wako, Mungu haombwagi Msamaha,

Upepo unavuma, bendera uelekeo unaenda mashariki.

Kaka yangu ni Bora Mungu akulipe wewe kwani wewe ndiye uliyekosea kuliko kukuacha wewe na kuhamishia kipigo kwenye kizazi chako.

Kaka yangu.
Bado hujachelewa. Tafuta uliowakosea uwaombe Radhi kuanzia mwakani 2022 mpaka 2025 utakuwa katika vita mbaya na Mungu Mkuu.

Nimekuambia mapema ili ujihami Kwa kuomba Msamaha Kwa uliowakosea ili Mungu aghairi.
Vinginevyo Mungu atakuwa mwaminifu kwako Kwa 100% kukutesa Kama ulivyofanya.

Mimi mdogo wako;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro

Sumu haionjwi📌🔨
 
Ndio yule kaka aliyekuwa mkubwa kuliko wote, ujumbe wa upendo na nasaha kwake, kaka mkubwa popote ulipo unaitwa huku 🤸.
 
Mchizi alidhan akitaka mungu sijui tumtegemee mungu huku familia za kina Ben Saanane na wengine tunalia kila siku kwa uchungu Mungu akuachii na huchukui round. Kuua kubaka ni ngumu sana kusamehewa. Maisha ya binadamu ni ya thamani
 
Daudi njoo huku
Ila nilicheka ile movie ya MO kutekwa. Bashite alijitokeza nakuwahakikishia umma MO atapatikana karibuni. Nasikia inner circle walimaindi kichizi wakamuonya asiongee tena yuko reckless ataharibu movie. Ndo maana kwaanzia siku iyo alikaa kimya.

Najua MO atatapika yote maza akiwastaafisha
 
Back
Top Bottom