All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Mie nadhani mtu kutumia ID yake itakuwa sawa zaidi, yaani kuwepo usajili kwa wote watakaopenda kuhudhuria, wasajiliwe online kwa kutumia user name kisha wapewe kitambulisho cha kuvaa shingoni siku ya kusanyiko.
kuna watu watakuwa kama washiriki wa Olympic waliovaa medali shingoni kwa mujibu wa idadi ya ID zao πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Naunga mkono hoja. Twenzetu tukajumuike pamoja wanaJF wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…