Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Dogo alikua katili sana aisee kwa idadi ya watu alioua na alikua anaua yeyote tuu Wananchi wamepumzika hayo maeneo ya Unga limited na Ngarenaro...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu nilisikia ni kisasi kwa jamaa yake aliyeuawa yeye akiwa ndaniKwa nini alikuwa akiua watu kama unavyadai ? Sababu ya huyu mtu kutekeleza mauaji ya watu hasa ilikuwa nini?
Hao wezi wa mali za umma si unawajua, nenda kawaue weweNipo serious mkuu,ukute alifananishwa au labda niyeye,ndomaana nikasema,ni vema angetiwa nguvuni,halafu afikishwe mbele ya vyombo vya sheria,haki itendeke.Hiyo mob justice,ingekua vema ikaelekezwa kwa wezi wa mali za umma,ambao wanajulikana na karibia kila mtanzania,ila sheria hazichukui mkondo wake,jamii ingeheshimika,kuliko kumuua mtu,tena yawezekana hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa,lakini ndo hivyo.Kuna habari za watu wengi tu kuuawa,kwa kuitiwa mwizi,huku si kweli,na watu kuua bila kumhoji wala kumsikiliza,siyo fair kabisa.Anyway ndiyo umma wetu huu.
🙄🙄🙄Kazi nzuri wananchi, endeleeni kuwapunguza
Jina zito lakini hakajai hata mkono.Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni
Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai.
Pia soma > Kibaka maarufu, Ally Dangote atiwa mbaroni Arusha
View attachment 2820024
Ally Dangote(Kulia)
Mimi siyo muumini wa mob justice.Hao wezi wa mali za umma si unawajua, nenda kawaue wewe
Wewe ni choko haujawahi kuibiwaKutuliza uuaji kwa kuuwa kuna amplify uuwaji.
Umewahi kumfananisha mama yako au mumeo?Nipo serious mkuu,ukute alifananishwa au labda niyeye,ndomaana nikasema,ni vema angetiwa nguvuni,halafu afikishwe mbele ya vyombo vya sheria,haki itendeke.Hiyo mob justice,ingekua vema ikaelekezwa kwa wezi wa mali za umma,ambao wanajulikana na karibia kila mtanzania,ila sheria hazichukui mkondo wake,jamii ingeheshimika,kuliko kumuua mtu,tena yawezekana hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa,lakini ndo hivyo.Kuna habari za watu wengi tu kuuawa,kwa kuitiwa mwizi,huku si kweli,na watu kuua bila kumhoji wala kumsikiliza,siyo fair kabisa.Anyway ndiyo umma wetu huu.
Kumbe unamjua si mngempa kibano au mlimsareGo to hell coward
Kuna siku alitukosakosa tukiwa tunatoka Bills tukiwa na Bajaj, tulishukuru gari lilikuja mbele yetu akazani ni pila la doria
Walikuwa wawili na bodaboda na sisi tulikuwa watatu na dereva wa bajaji anamfahamu huyo dogoKumbe unamjua si mngempa kibano au mlimsare
Duh.... Hawa jamaa sio wa kuonea huruma aisee anakumaliza dakika tu....Go to hell coward
Kuna siku alitukosakosa tukiwa tunatoka Bills tukiwa na Bajaj, tulishukuru gari lilikuja mbele yetu akazani ni pila la doria
Huenda ni kibaka mwenzieHivi we jamaa upo serious kweli? Au mgeni nchi hii!
Eti may his soul bla bla bla.... kwa jambazi muuaji
Ajakutana nao huyu asubiri siku atabadilisha maneno yakeWewe ni choko haujawahi kuibiwa
[emoji848][emoji848]Pole kwa familia,ndugu na jamaa, may his soul R.I.P.
Mob justice ni mbaya, wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke, ukute alisingiziwa au kafananishwa.