hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Wanasiasa wa Tanzania wanavyomzungumzia Rais wao ni kama wakristo tunavomzungumzia Mungu wetu, wanampa mamlaka mpaka wanamfitinisha na Mungu tunayemjua sisi, aaaau ndo kusema Mungu wetu siyo Mungu wa wanasiasa wa Tanzania, nilitamani kuingia huko ila hizi drama za kumwabudu Rais kuliko Mungu ni Bora nibaki "wakawaida saaaana"Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
View attachment 2815455
-Kaveli-