Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Kumbe!Yaani Ally Happy amefikia kumtusi Abrahaman Kinana! Ama kweli njaa haina hekima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe!Yaani Ally Happy amefikia kumtusi Abrahaman Kinana! Ama kweli njaa haina hekima.
Kumbe ndani ya ccm kuna mafisadi na yanajulikana hadi kwa viongozi lakini yanaendelea kuwepo tu.Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
-Kaveli-
CCM ni Chama Cha MafisadiKumbe ndani ya ccm kuna mafisadi na yanajulikana hadi kwa viongozi lakini yanaendelea kuwepo tu.
Hii inafikirisha
Kwa maneno ya Ali happy mwenyewe!CCM ni Chama Cha Mafisadi
Wezi wapo wengi.Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
-Kaveli-
Wanaogopana, mwizi hawezi kumkamata mwizi mwenzieHuyo mwizi ndio nani ambae anapaswa kukamatwa??
Kwa wale ambao Bongo zao zinafanya kazi ku digest mambo kwa kina wanamwelewa jamaa!!Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
-Kaveli-
CCM ni ukoo wa panya wote weziWanaogopana, mwizi hawezi kumkamata mwizi mwenzie
kwamba wastaafu wakae kimya au siyoEx RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
-Kaveli-
Kati ya wanasiasa uchwara huyu mojawapoHuyu mtu sijawahi kumkubali hata siku moja. Ally Hapi siasa hazikufai, we endelea kulima zako huko tupumzishe.
Hahahaha!Kafulila method 😂😂