hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Wanasiasa wa Tanzania wanavyomzungumzia Rais wao ni kama wakristo tunavomzungumzia Mungu wetu, wanampa mamlaka mpaka wanamfitinisha na Mungu tunayemjua sisi, aaaau ndo kusema Mungu wetu siyo Mungu wa wanasiasa wa Tanzania, nilitamani kuingia huko ila hizi drama za kumwabudu Rais kuliko Mungu ni Bora nibaki "wakawaida saaaana"Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
View attachment 2815455
-Kaveli-
Jamaa ana akili sana. Enzi zile UDSM aliwahadaa kwamba yeye ni mwana-mapinduzi mfuasi wa CHADEMA na hatimaye wanafunzi wakaungana naye kumpindua Simon Mathias Kipara (wakati huo akiwa CHADEMA).Huyu jamaa ni mnafiki sana.... uliza wana udsm waliosoma nae kipindi hicho.... Kwa ninavyomjua sitaki hata kumsikiliza
KagashekiUnatumia ID fake halafu unaogpa?
Sema kwa sauti kubwa KINANAH
We Nyani Ngabu naee!!Anamuongelea nani? Kagasheki?
I have never ever rated this Hapi guy!
Nyanya hazilipi? HahahahhaAnatafuta uteuzi.
Hili ni tatizo hapa TZ🤣🤣🤣🤣🪑Kwa kweli kuishi kwa kutegemea teuzi ni ugonjwa mbaya sana!
Kina Anna?Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
View attachment 2815455
-Kaveli-
Nenda mahakamana 🤣🤣🤣🤣🪑Naye mwizi tu katuibia sana Iringa huyo. Aturudishie Pesa zetu za Drip System Ekari 10 tulizomfungia pale nduli na akakataa kutulipa.
Mbona anajikacha kwa Samia na Majaliwa?Ex RC Ally Hapi amkumbusha mwizi wa mali za wananchi, fisadi, mla rushwa na adui wa chama kuwa muda sasa unahesabika.
Video inazungumza...
View attachment 2815455
-Kaveli-
Jemedari wa M?We Nyani Ngabu naee!!
ina maana huoni kuwa Hapi ni JEMEDARI?
Haloo inawezekana kabisa 🤣🤣🤣🤣🪑🪑🎶🤣🪑🎶🎶🎶🎶🎶Mbona anajikacha kwa Samia na Majaliwa?
Aseme kivyake aone?
Na Musiba naye atarudi muda si mrefu atakuwa Malaika🤣🤣
Alilima nyanya zikapigwa na umungu zote, hakuambykia kitu. Naona sasa ameamua aheri awe bwege alimradi mkono upate uhakika wa kwenda kinywani.Hapi anajikomba ili ateuliwe. Kilimo cha pilipili hakilipi.
Hata hizo nyanya zingekomaa akazivuna angepigwa na kitu kizito sokoni kwa anguko la bei. Kilimo nchi hii ni kazi ya laana kama ilivyo kuendesha bodabodaAlilima nyanya zikapigwa na umungu zote, hakuambykia kitu. Naona sasa ameamua aheri awe bwege alimradi mkono upate uhakika wa kwenda kinywani.
Akajiajiri huko. Kama alidhani ni rahisiAlilima nyanya zikapigwa na umungu zote, hakuambykia kitu. Naona sasa ameamua aheri awe bwege alimradi mkono upate uhakika wa kwenda kinywani.
swadakta ! mama hamna kitu .Ndio wa Tanganyika watakapo gundua makosa ya kuubeba uzenji maana wajanja wamesha juwa kuwa ukiingia kwa mfumo wa mipasho na masifa kwake basi cheo hichooo!
Amkeni nyie wamatumbi! Sio wale wa kijani au nyekundu wala zambarau, piga chini uzenji na hulka zake zote.