steam of ice
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 257
- 172
dah, aisee! eti zama zao zimepita.
Ana bahati si mgalatia.
Tumetoka mbali zama zile baba yao akinangwa walishindana kujibu mashambulizi kutetea utopolo.Huku bashite anapokea gambo anakuja chalamila speaker mbovu anamaliza sabaya Musiba majura akiwa refarii leo wameufyata msemo wa kizanzibari.
WAMEUFYATA
Musiba ni shia? [emoji23][emoji23]Makonda je mbona mgalatia na ameachwa?
Chalamila hana shida,,, tatizo hajui kupangilia tu sentensi[emoji134]Hepi amekuwa kama paka aliyemwagiwa maji ya ukoko.Chawa mwenzake chalamila aliliwa kichwa.
Kutokupangilia sentence si ndo shida yenyewe,ana shida ya uropokajiChalamila hana shida,,, tatizo hajui kupangilia tu sentensi[emoji134]
Leo ye ndo anakaa kimya.
Anavutiwa kasiMakonda je mbona mgalatia na ameachwa?
Dah!,,magufuli aliharibu sana hawa vijana aiseVideo inajielezaView attachment 1737768