Mtukudzi
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 103
- 408
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo.
Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili kurudisha jimbo la Nkasi mikononi mwa CCM. Mwenye nafasi ya kuwasaidia ni Mh. Kessy.
Akae na wanasheria nguli wa Chama kama Bw. Alberto Msando watengeneze ground za kisheria ili jimbo lirudi CCM. Vinginevyo huyo mbunge wa CHADEMA afanye kile kinachoitwa kuunga mkono juhudi ili uchaguzi ufanyike ili awe mbunge wa CCM.
Tofauti na hapo watu wa Nkasi watapata matatizo wasiyostahili.
Note: Maendeleo hayana chama na chama hakina maendeleo.