Ally Kessy apinge Mahakamani matokeo ya Uchaguzi yaliyomnyima ushindi

Ally Kessy apinge Mahakamani matokeo ya Uchaguzi yaliyomnyima ushindi

Mtukudzi

Senior Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
103
Reaction score
408
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo.

Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili kurudisha jimbo la Nkasi mikononi mwa CCM. Mwenye nafasi ya kuwasaidia ni Mh. Kessy.

Akae na wanasheria nguli wa Chama kama Bw. Alberto Msando watengeneze ground za kisheria ili jimbo lirudi CCM. Vinginevyo huyo mbunge wa CHADEMA afanye kile kinachoitwa kuunga mkono juhudi ili uchaguzi ufanyike ili awe mbunge wa CCM.

Tofauti na hapo watu wa Nkasi watapata matatizo wasiyostahili.

Note: Maendeleo hayana chama na chama hakina maendeleo.
 
1. Naunga mkono hoja, napendekeza huyo dada ajiunge na CCM tu kwani inawezekana kabisa kuwa mbunge wa CCM kupitia tiketi ya CDM! Kama Mwambe vile!

2. Hakuna tena visingizio, bunge limekuwa la CCM na JPM afanye hayo maajabu ambayo amekuwa akiyahubiri anakopita!

3. Nimechoma moto kadi yangu ya mpiga kura!Nchi hii kupiga kura ni kupoteza muda wako!

4. Maisha yanaendelea na nimejitoa rasmi kushiriki shughuli yoyote ya kiserikali mtaani kwangu!
 
Kesy akuna haja ya kwenda mahakamani wakati dada atarudi nyumbani ili pazidi kunoga.
 
Ni kweli Kabisa Ali Kesy na Hawa Ghasia hawakutendewa haki wakapinge mahakamani au wakurugenzi waliowatangaza hap wapinzani watumbuliwe haraka sana, maana hayo majimbo yatakosa maendeleo bila wabunge wa CCM, maana watakua hawana connection. Donnor cantreeee.

Maendereo hayana vyamaaaa, mkichagua upinzani sileti maji, nireteeeni gwajima......nireteen gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaa... nireteeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
1.Naunga mkono hoja,napendekexa huyo dada ajiunge na CCM tu!Kwani inawezekana kabisa kuwa mbunge wa CCM kupitia tiketi ya CDM!Kama Mwambe vile!
2.Hakuna tena visingizio,bunge limekuwa la CCM na JPM afanye hayo maajabu ambayo amekuwa akiyahubiri anakopita!
3.Nimechoma moto kadi yangu ya mpiga kura!Nchi hii kupiga kura ni kupoteza muda wako!
4.Maisha yanaendelea na nimejitoa rasmi kushiriki shughuli yoyote ya kiserikali mtaani kwangu!
Mimi tangu zile sarakasi za uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na pia marudio ya uchaguzi wa wale wabunge na madiwani njaa utokee, niliapa kutoshiriki kwenye uchaguzi wowote ule.

Siku magu akitoka madarakani, nitarejea tena kuoiga kura kama hapo awali. The man is Ant - democracy! Hajawahi kuamini katika uhuru wa maoni, uhuru wa kuchagua, uhuru wa habari, nk.
 
Mimi nimejitoa rasmi na sitoshiriki tena suala lolote linalohusiana na uchaguzi!Kama ikitokea kujiandikisha basi nitaenda kujifuta kwenye daftari la mpiga kura!
Maisha yaendelee!
 
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo...

Kuna wakati wazungu wana Haki kabisa ya kusema sisi waafrika hatujitambui

Na hatujui tunataka nn

Tanzania si ilikuwa ya chama kimoja? Why mlifanya iwe vyama vingi Ikiwa hamtaki mawazo tofauti?
 
4.Maisha yanaendelea na nimejitoa rasmi kushiriki shughuli yoyote ya kiserikali mtaani kwangu!
Kumbuka miaka mitano iliyopita, msemo uliokuwapo ulikuwa ni kwamba kuna vyama vinazuia maendeleo, vimefutwa. Hapo ndipo utakaposababisha uzaliwe msemo mpya kwamba kuna wananchi wanazuia maendeleo, na wewe utafutwa. Ilianza ngazi ya vyama, sasa itahamia kwa mwananchi mmoja mmoja
 
1.Naunga mkono hoja,napendekexa huyo dada ajiunge na CCM tu!Kwani inawezekana kabisa kuwa mbunge wa CCM kupitia tiketi ya CDM!Kama Mwambe vile!
2.Hakuna tena visingizio,bunge limekuwa la CCM na JPM afanye hayo maajabu ambayo amekuwa akiyahubiri anakopita!
3.Nimechoma moto kadi yangu ya mpiga kura!Nchi hii kupiga kura ni kupoteza muda wako!
4.Maisha yanaendelea na nimejitoa rasmi kushiriki shughuli yoyote ya kiserikali mtaani kwangu!

Hahaha Punguza hasira
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Vipi mkuu mbona umekuwa mpole ghafla? Zile ngebe zako ziko wapi sasa?

namba utaisoma dogo!
 
Kumbuka miaka mitano iliyopita, msemo uliokuwapo ulikuwa ni kwamba kuna vyama vinazuia maendeleo, vimefutwa. Hapo ndipo utakaposababisha uzaliwe msemo mpya kwamba kuna wananchi wanazuia maendeleo, na wewe utafutwa. Ilianza ngazi ya vyama, sasa itahamia kwa mwananchi mmoja mmoja
Waje wanifute ila naishi maisha yangu kivyangu!Sitoshiriki jambo lolote linalohusiana na siasa!Kamwe!I am done!
 
Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo...
huo ndio ujinga mliokua nao, pesa za maendeleo kwani za kwako au za walipa kodi? nchi hii ina watu wajinga sana
 
Back
Top Bottom