Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Huyu kiboko yaoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazo wahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano.
Hivyo kasema Wanapaswa kutoka nje Zinapojadiliwa Wizara Zisizoihusu Zanzibar.
Ally Kessy Mbunge wa Nkasi, amesema Wazanzibar waache kuwanyonya Watanganyika. ameyasema hayo wakati wa kuchangia Wizara ya mambo ya Nje.
Amesema Wabunge kutoka Zanzibar wapo zaidi ya 54, wangekaa kule kwao hata Bunge lao lingeonekana dogo, wasingepata pa kukaa, hivyo wanapokuja wawe wapole.
Amedai wabunge wa Zanzibar wanataka haki sawa katika Uteuzi wa Mabalozi wakati wakati Mabalozi wenyewe ni 21 tu. Kasema kwa kuwa Zanzibar inachangia Asilimia 4, hivyo na mabalozi inabidi wawe asilimia nne. Hata kama wapo Manaibu Balozi wamependelewa tu.
Katiba ya Warioba ndio jibu. Hata wabunge wa CCM wanalijua, ila kwa uoga wao walishangilia kura ya wazi huku hawaipendi. Mungu yupo tutaelewana karibunini lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.
Kuna dada yake alikaa uke wenza na mwanamke wakizanzibari.Hivi huyu jamaa hawa Wazanzibar walimkoseaga nini??
Maana ye kila siku ni bifu nao tu
Nani wamechoka wabara au wa-zanzibari ? wa-znz ambao munawapandikizia mpaka raisi? ambao mnawanyima uhuru wa kuchagua hata kiongozi wamtakae ? ambao wakiamua kuchagua kiongozi wanaeamini atawatoa katika janga na unyonge wa kutawaliwa na mkoloni mweusi munawaletea jeshi na kuwababikiza kesi za uwongo ? amboa hawana haki yoyote ya kujiamulia mambo yao bila ya ridhaa ya serikali ya tanganyika? nani hasa kachoka hapa?Kessy anawaambia ukweli, ahsante sana. Tumechoka
ni lini Zanzibar walisema wanataka Muungano na Watanganyika ?
nashangaa Nyerere alivyokimbilia Zanzibar kufunga mkataba wa Muungano..
Mmesahau mlivyokua mkiingia Zanzibar kununua bidhaa ?
sasahivi hela za bandari ya Zanzibar mkusanye nyinyi, utalii mkusanye nyinyi, foreign exchange kutoka Zanzibar mkusanye nyinyi , misaada ya UN, FIFA iishie kwenu..
makusanyo hayo kutoka Zanzibar mnaingiza kwenye mfuko wa Muungano kuendesha miradi ya bara na Zanzibar kuambulia mazombie ya askari kutoka bara ili kuwadhibiti...
mmeizuia Zanzibar hata kujiunga na OIC ili isinufaike..
MBONA HAMUITISHI REFERENDUM ili Wazanzibar waamue kama wana hata shauku ya kuungana na machogo.
Hivi wanaolazimisha Muungani ni wanzanzibari au ni wabara?Mi sikuwahi kuwapenda wabunge wanaotokana na CCM kwa kuwa huwa hawajui kujenga hoja za maana zaidi ya kusubiri kuunga mkono hoja kwa kuegemea Chama chao kana kwamba Serikali inatumia mfumo wa kibunge (parliamentary system). Hata hivyo nimekuwa nikiliwazwa mara kwa mara kwa uropokaji mzuri wa Mbunge Kessy hasa dhidi 'ego' za wazanzibar ambao wanajidai wanataka uhuru baada ya kugunfua kuwa wana rasilimali ya mafuta. Go bhana Kessy utupe raha hata kidogo mana hatuwezi kuipata kwa wanaccm wenzako.
Hao walioko madarakani huko znz ni Watanganyika?Nani wamechoka wabara au wa-zanzibari ? wa-znz ambao munawapandikizia mpaka raisi? ambao mnawanyima uhuru wa kuchagua hata kiongozi wamtakae ? ambao wakiamua kuchagua kiongozi wanaeamini atawatoa katika janga na unyonge wa kutawaliwa na mkoloni mweusi munawaletea jeshi na kuwababikiza kesi za uwongo ? amboa hawana haki yoyote ya kujiamulia mambo yao bila ya ridhaa ya serikali ya tanganyika? nani hasa kachoka hapa?
Hapaana! anawaambia ukweliHuyu mbunge ana asili ya Tipu Tipu. Hivyo ana ona uchungu nduguze wa Znz kuijidhalilisha na Tanganyika. Anafahamu vizuri sana kuwa hawa wamedhibitiwa.
Anacho fanya ni kujaribu kuwamsha hawa ccm znz ambao ni hawana hisia na znz zaidi ya kulinda maslahi ya matumbo yao.
Hii njia ani tumia kwa ujanja ..anawatia hasira dhidi ya Tanganyika...ili waaamke wadai chao...hivyo anafanya kwa ustadi kuwasaidia
CCM walivyo wa ajabu watadhani kwamba hii inawahusu CUF tu huko Zanzibari wanadhani wao ni wa bara hahahahhahahaaa hutawasikia wabunge wa ccm toka Zanzibar wakikemea hili badala yake wataungana na huyu mbunge yaani ccm Zanzibar wanachekesha sanaPoleni wabunge kutoka znz hasa wa ccm
Huo ndio ukweli
Sijaona mbunge wa CCM mwenye uthubutu wa kusema ukweli kama mheshimiwa Kessy. Tangu nimahamu sijawahi kumsikia akichangia pumba, siku zote pointi zake zina mantiki.Huyu mbunge Kesy huwa anawaumbua sana kisiasa Wazanzibari.
Anatoboa yale ambayo ni dhahiri.
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazo wahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano.
Hivyo kasema Wanapaswa kutoka nje Zinapojadiliwa Wizara Zisizoihusu Zanzibar.
Ally Kessy Mbunge wa Nkasi, amesema Wazanzibar waache kuwanyonya Watanganyika. ameyasema hayo wakati wa kuchangia Wizara ya mambo ya Nje.
Amesema Wabunge kutoka Zanzibar wapo zaidi ya 54, wangekaa kule kwao hata Bunge lao lingeonekana dogo, wasingepata pa kukaa, hivyo wanapokuja wawe wapole.
Amedai wabunge wa Zanzibar wanataka haki sawa katika Uteuzi wa Mabalozi wakati wakati Mabalozi wenyewe ni 21 tu. Kasema kwa kuwa Zanzibar inachangia Asilimia 4, hivyo na mabalozi inabidi wawe asilimia nne. Hata kama wapo Manaibu Balozi wamependelewa tu.
Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazo wahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano.
Hivyo kasema Wanapaswa kutoka nje Zinapojadiliwa Wizara Zisizoihusu Zanzibar.
Ally Kessy Mbunge wa Nkasi, amesema Wazanzibar waache kuwanyonya Watanganyika. ameyasema hayo wakati wa kuchangia Wizara ya mambo ya Nje.
Amesema Wabunge kutoka Zanzibar wapo zaidi ya 54, wangekaa kule kwao hata Bunge lao lingeonekana dogo, wasingepata pa kukaa, hivyo wanapokuja wawe wapole.
Amedai wabunge wa Zanzibar wanataka haki sawa katika Uteuzi wa Mabalozi wakati wakati Mabalozi wenyewe ni 21 tu. Kasema kwa kuwa Zanzibar inachangia Asilimia 4, hivyo na mabalozi inabidi wawe asilimia nne. Hata kama wapo Manaibu Balozi wamependelewa tu.
Hapaana! anawaambia ukweli
Hao wznz wako Dodoma hawajui gharama za uwepo wao
Huku bara wanakuja Zaidi ya 80, BLW wapo 50.
Wanataka nafasi za ubalozi, hivi SMZ inachangia nini katika kuendesha balozi 21 zilizopo.
Kama wanataka nafasi za ubalozi, basi waombe kugharamia balozi watakazokuwa na balozi mzanzibar. Siyo watake vyeo wakimbie gharama
Kessy kaongea ukweli, mambo yasiyowahusu wanayaongelea yanawahusu nini?
Wanalalamika mgonjwa hakutibiwa na JMT, kwani wizara ya afya ni suala la muungano!
Wanadai nafasi za muungano sawa, hivi znz yenyewe inatoa ajira za muungano ngapi
Halafu wamejazana katika maeneo yasiyowahusu kama wizara zisizo za muungano
Wanataka mgao wa 4.5 wakati huo huo wanataka na kile kisicho cha muungano
Kessy kawaambia ukweli, wakati umefika tuwaambie ukweli.
Muungano ni gharama tushirikiane, si eneo la kuzalisha ajira au kutoa mafao kwa znz.
Znz ili iwe na heshima ni wakati sasa wakiongelea muungano wasidai tu watuambie na eneo gani wanasaidia. Tumechoka kusikia madai tuu hakuna mchango wowote
Hiyo 4.5 ni pato la Tanganyika, bado wanataka na inasikitisha wanataka kugawana sawa
Wakiambia wenzetu mnaleta nini mezani, wanakimbiaa. Utegemezi huu unachosha
Kwakweli afadhali amepatikana mwenye uchungu na kodi zetu
Watu milioni wanachukua sehemu kubwa sana ya kodi zetu. Hivi Dar na znz zina ulinganifu kwa jambo gani kiasi znz ipate takribani mara 20
Ahsante Kessy, Ahsante sana. Wakiwa Dodoma watulie na kusubiri watakacho zawadiwa,
Ndugu yangu, wakati wa bunge la katiba, gavana wa benki kuu aliwahi kusema Zanzibar haichangii muungano. Hakuna mzanzibar aliyesimama kupinga hilo.Kusema Znz hawachangi ni ujinga. Wao pia wanachamgia sana tu. Kuhudu mgawanyo upo kikatiba wamekubaliana na badi nchi hixi xipo mbili...ndio maana znz wanaendesha serikali yao na uchumi wao.
Ni ujinga mkubwa syi znz hawachangii ...ni upumbavu wa hali ya juu.
Idara zote za muungano fedha zinazokusanywa zinaingia hazina. Mfano wa hizo ni
Viza..hii inaingia bingo na hakuna mgao
Kodi za aviation licence hata zikisajiliwa znz
Posta
Simu . Hixi simu ndio zinaingiza mapato makubwa ..hixi fedha zake xote xinaingia muungano...makampuni ya simu yakilopa yanaingia hazina..sasa hata zile za znz wakitumia kodi zinakuja bara
Fedha za madini na gas ni ya muungano hivyo mnapouza vitalu kule znz frdha mna hukua bongo
Kodi sa customs
Vat yote
Wapemba kariakoo wapo hapa na wanachangia
Licence za mabenki
Licence za bima
Hizi zzote hata zikiwa kule visiwani fedha zinaingia bongo.hivyo wana changia vya kutosha ....ndio maana nikakwambia huyu ana asili ya kiarabu anafungua macho ccm znz waache uhjinga ...nchi yao inateketes kutetea muungano usio na maskahi