DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
bright clan hatunaga mbambamba,
tunatoa hoja za maana kitaalamu zaidi na kwakweli ndio maana daima tuko sambamba na wananchi tunasonga mbele pamoja bila kujali fulani kapenda au kachukizwa na uzito au umuhimu wa hoja mahususi mezani π
by the way,
boss mpya TLS is no more an activist nor politician, he is done, he is no more relevant in political scene politically speaking π
Between the lines...there is something...nafsi Yako inajua unafeel vipi na Mwabukusiπ π π π π π πππ
unless nisingekua kiongozi mwandamizi wa wananchi,The guy is mourning silently - ni mwendo wa kuomboleza kimya kimya
huyu huyu mjamaa wa kiburi sio?Between the lines...there is something...nafsi Yako inajua unafeel vipi na Mwabukusiπ π π π π π πππ
umeanza kuyaporomosha sio π€£Wewe ni kichaa. Hilo moja.
Pili, ukichaa unapo tulia kidogo unajikuta kuwa unayo maumivu makali sana kichwani. Unahangaika na hayo maumivu kutafuta njia ya kuyatuliza.
EEEeenHEEEEE! Ile njia ya "upole" huku ndiko inakopitia? Naona mihangaiko mikubwa sana ikikusumbua.
Uelewe usielewe, hilo ni shauri zako. Kwa mtu punguani kama wewe nani atapoteza muda kuelewesha!
SureπKuna watu unawaelewa vzr wanapoandika...Kuna pinch huko chanikiwitiπThe guy is mourning silently - ni mwendo wa kuomboleza kimya kimya
unless nisingekua kiongozi mwandamizi wa wananchi,
ninao wajibu mkubwa kwa wananchi na kwa familia hii kubwa mno ya JF, kutoa, maoni, mawazo na elimu hususani on current issues,
ukija na majibu yako mfukoni dhidi ya hoja zangu, ukadhani ati naweza babaika na flani kua nani, wapi unajidanganya tu, na kupoteza muda wako...
nachojaribu kukifanya kitaalamu zaidi ni kukusaidia uelewa na kukuongezea elimu na maarifa juu ya mambo haya π
ukihemka ni juu yako..
Nilisha kwambia siku nyingi, hapa situmii nguvu yoyote ya akili kupambana na kichaa wa aina yako. Sasa tayari tupo pamoja tena. Tuendelee.umeanza kuyaporomosha sio π€£
SureπKuna watu unawaelewa vzr wanapoandika...Kuna pinch huko chanikiwitiπ
utaniambia nini wewe gentleman π€£Nilisha kwambia siku nyingi, hapa situmii nguvu yoyote ya akili kupambana na kichaa wa aina yako. Sasa tayari tupo pamoja tena. Tuendelee.
soon mtamuona useless and nonsense πNasikia urais ni TLS ni three years na jamaa mwakani anachukua jimbo
Unawezaje kuzika mbegu ? You can't mbegu haizikwi
MTU amchukie then umpe power yoyote au jukwaa.
Mwambukusi kitu alichokuwa anahitaji ni platform jukwaa la kuongelea na kalipata
Time never do lie - tuupe muda nafasisoon mtamuona useless and nonsense π
Unaumia sana mkuu. Haya mabadiliko ndiyo hivyo tena hayazuiliki. Jikaze hivyo hivyo na u'gentleman' na aina zote za hadaa, lakini watu weshasoma tabia zenu za kinafiki na kuzielewa vizuri sana.utaniambia nini wewe gentleman π€£
yaani nibabaike na wewe?
anyway ni kwasababu ni mwananchi wangu tu inanilazimu kukuburuza taratibu tu maana hakuna namna nyingine sasa π
Ni dhahiri atatulia na atapoa sana, atabadilika mno, anaweza kupoteza ufuasi lakini pia anaweza kuongeza uungwaji mkono.
Ni kama nyumbu alietwezwa kwenye ziwa lenye mamba wakali sana na wenye njaa, atararuliwa sana atalalamika kuhujumiwa.
Ni namna ya kipekee na kitaalamu sana kumkomoa, kumpoteza maboya mwerevu na mjuaji kupita kiasi.
Hawezi tena kufurukuta, hatakua na muda tena wa kufanya harakati, na hataweza tena kufanya siasa alizokua akizifanya.
Bila shaka atakosa muda, atajikuta tu uchaguzi mkuu 2025 umefika na umekwisha na hatakua na la kufanya. Itamlazimu kuanza upya kujijenga.
Dah, ni kama vile kibogoyo kupewa mfupa ulowashinda fisi waerevu na walafi.
Maskini boss mpya wa TLS, ndio basi tena.
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Aliye kupa kazi hii ya kuja kuweka takataka hapa kutwa nzima alikudharau sana. Sasa hapa unajifanya unamsemea boss? EEEeeeenHEEEnH. Kama siyo kichaa ninacho kueleza kinakusumbua ni kitu gani tena hiki!utaniambia nini wewe gentleman π€£
yaani nibabaike na wewe?
anyway ni kwasababu ni mwananchi wangu tu inanilazimu kukuburuza taratibu tu maana hakuna namna nyingine sasa π
relax bana,Aliye kupa kazi hii ya kuja kuweka takataka hapa kutwa nzima alikudharau sana. Sasa hapa unajifanya unamsemea boss? EEEeeeenHEEEnH. Kama siyo kichaa ninacho kueleza kinakusumbua ni kitu gani tena hiki!