Ama kweli siasa ni sayansi, ametulizwa kwa kupewa ubosi TLS

hunaga wazo jipya wala fikra mbadala, ni kulalamika tu katika kila hoja..

si unachoka sana moyoni na akilini aise bila faida yoyote πŸ’
 
We ZombieπŸ’
 
Mkishindwa kufanya ushetani wenu huwa mnakuja na mbinu mpya, ila hakuna atakae waunga mkono
binafsi sina haja kuungwa mkono ninapo toa hoja au elimu juu ya jambo fulani humu jukwaani πŸ’

wananchi wanao niunga mkono hapa jimboni, pamoja na Imani kubwa aliyonayo kiongozi wetu mkuu wa chama Taifa inatosha sana gentleman πŸ’
 
Hoya hueleweki unatabia ya K akisimama ipo mbele akichuchumaa inatazama chini akiinama ipo nyuma!
 
hunaga wazo jipya wala fikra mbadala, ni kulalamika tu katika kila hoja..

si unachoka sana moyoni na akilini aise bila faida yoyote πŸ’
Hakuna namna ninayoweza kuacha kilaza aina yako utambe humu kwa raha zako mwenyewe. Hii haitatokea hata siku moja. Juwa hivyo. JF siyo mahali pa kuja kuweka takataka za kuvuruga akili za watu na kuwasimanga, huku ukijijekesha chekesha kama mwenda wazimu.

Nimekwisha kueleza mara kadhaa humu, hii kazi kama ulipewa ukifikiri namna yako ya uwasilishaji ndiyo itakuwa nafuu yako kuwavuruga watu, fahamu kwamba hilo limekwisha tambulika. Tunajuwa staili hiyo inatumiwa sana na huyo aliye kuleta hapa, na yeye hana njia tena ya kuwadanganya watu huku matendo yake yakiwa ni maovu.

Tafuteni njia nyingine ya kudanganyia watu.
 
mie sie wa kubabaika na wa aina yako, ila kwasabb ni miongoni mwa wananchi wangu nashindwa kabisaa kujitenga nawe kwasabb pia una haki ya kuskizwa hata kama huna hoja, hususani na na viongozi wa wa kisasa wa aina yangu, makini, wenye huruma na wasiyoyumbishwa na chochote katika utendaji wa kila siku πŸ’
 
Kibarua kina elekea ukingoni hiki, ushauri ninaoweza kukupa wewe ni huu: achana na hizi hadaa za kijinga. Fanya tu mambo unayotumwa kuyaleta hapa kama ulivyo, na siyo kama unavyo igiza. Hii ni sanaa tu unayoleta humu, haina uhalisia wowote.
Sasa hili la kuigiza kuwa boss anayekutuma nalo naona hata huoni aibu kuendelea kujifanya ndiwe mwenyewe. Hivi wewe unafikiri unajishughulisha na watu wenye akili ndogo humu?
Watu wanaangalia miandiko tu na kujuwa tofauti kubwa iliyopo, ingawaje nyote wawili hamuonyeshi hata uwezo wa ushawishi juu ya lolote. Lugha zenu ni tofauti kabisa.
Alipo jitangaza kuwa huwa anapitia humu, na pengine kuchukuwa jukumu la kumwakilisha humu, ukalichukulia kuwa wewe ndiye uwe mbadala wake na kujitangaza kabisa?
 
leo ndio naingia mjini baada ya zaidi ya mwezi moja kupambana na kazi za mavuno shambani, ajira na kibarua changu cha kwanza kunipatia Camry mpyaaaaaa, siwez kukusahau wala kuacha asili yangu πŸ’

kongole nyingi sana kwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan kupitia kwa waziri wa kilimo kijana mchapakazi hodari Hussein Bashe, mwaka huu wakulima tuna long smile πŸ€“
well done our very Loved leaders...

hivi vibarua vinginevyo ni dhamana za ziada kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, wala siringi, cheo ni dhamana ya umma kwa muda tu, wanainchi wataamua πŸ’
 
Nilisema wewe ni chizi tokea mwanzo kabisa. Sikukosea.
Kwa hiyo mtu kama wewe ndiye uje humu kupotezea watu muda, huoni ujuha huo?
 
Nilisema wewe ni chizi tokea mwanzo kabisa. Sikukosea.
Kwa hiyo mtu kama wewe ndiye uje humu kupotezea watu muda, huoni ujuha huo?
utaumia moyoni sana gentleman,
tozo, ushuru na hiyo kodi kidogo unatozwa kwa kweli si ya kutengemea sana, coz kuna leo na kesho,

by the way hiyo ya shamba mbona ni kidogo tu gentleman...
kuna ya mang'ombe aise πŸ’

hii ya siasa ambayo ndio msingi wa hata haya mengine, ni taaluma yangu na naifanya vizur japo inawapa mihemko sana ndrugu zangu, lakini sina namna itabidi mzoee tu πŸ’
 
Anaye umia ni wewe, kwa sababu unapoteza kila kitu anayekulisha atakaporudi nyumbani; jambo ambalo lipo wazi kabisa sasa.
 
Anaye umia ni wewe, kwa sababu unapoteza kila kitu anayekulisha atakaporudi nyumbani; jambo ambalo lipo wazi kabisa sasa.
mie naumia na kukomaa na shughuli na kazi za shamba ili familia yangu iendelee kufurahia matunda ya kazi za mikono yangu,

Lakini pia napambamba kwa bidii na saa zingine uchungu mwingi ili wananchi jimboni waneemeke na maarifa na mipango mikakati muhimu na ya maana zaidi kwa mustakabali na manufaa yao katika maisha yao πŸ’

kwani kuna kitu mbaya hapo gentleman?πŸ’
 
hii ya siasa ambayo ndio msingi wa hata haya mengine, ni taaluma yangu na naifanya vizur japo inawapa mihemko sana ndrugu zangu, lakini sina namna itabidi mzoee tu
EEEEEeeenHEEEEEEEeee!
Kama unayo "taaluma" kwenye eneo la siasa, mbona unaboronga hivi? Hii taaluma uliisomea chuo gani?
 
Nakusoma vizuri sasa, mkuu 'Tlaatlaa', hebu endelea?
Naanza kuunganisha 'dots' ambazo zinakubali vizuri!
 
EEEEEeeenHEEEEEEEeee!
Kama unayo "taaluma" kwenye eneo la siasa, mbona unaboronga hivi? Hii taaluma uliisomea chuo gani?
unadhani aliefilisika kwa hoja, mawazo mapya na fikra mbadala atakua na option gani zaidi ya hiyo?πŸ’

na kwa upande wangu sioni tatizo kudeal na asie na hoja, na mkimbia hoja kama wewe gentleman πŸ’
 
unadhani aliefilisika kwa hoja, mawazo mapya na fikra mbadala atakua na option gani zaidi ya hiyo?πŸ’

na kwa upande wangu sioni tatizo kudeal na asie na hoja, na mkimbia hoja kama wewe gentleman πŸ’
Nataka tu ujue moja, na usinihangaishe tena kwa hilo. Ninapoona takataka, sina simile juu ya hiyo takataka. Uwezo wa kutenganisha takataka na mambo mazuri ninao sana. Hiyo taaluma unayoizungumzia hapa ni taaluma ya taka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…