Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

Kwa kuzingatia comments tu mleta uzi umepigwa na kitu chenye ncha kali takoni🤣🤣 usifananishe bahari na dibwi chafu😎😎
 
Awali ya yote huwezi kulinganisha kichaa na mtu timamu.

Ivyo walitofautiana saaana,Nyerere alikuwa ni binadamu na Magufuli alikuwa ni shetani.

The ugly/beast and the beautiful are different.

ACHA KUMDHALILISHA NYERERE !!
Kwanza ujue huo ukichaa hata Mwl alishasingiziwaga...Inawezekana akili za hawa wenzetu wawili JKN na JPM zinazidi average people ndiyo sababu tunawaona kama vichaa...Maana kitu usichoweza kukiwaza kikifanyika na biandamu wenzako huku wewe ukiona hukuwahi hata kuwaza lazima useme kuna tofauti ya ufikiri....

Unazidi kupigilia mstari kuwa JPM no version ya 21st century ya JKN
 
Kisha sheria ya umiliki wa mali asili hata kama ikifutwa bado itaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu...Kuna watu wanatamani kama asingezaliwa na hasira inazidi pale ambapo hawawezi kumfikia pale aliko kufuta historia yake kwakua Mungu kamchukua mapema ili asile matapishi yake mwenyewe...Ameheshimishwa na mbingu yenyewe...Watabakia tu kujaza nyongo kwenye miili yao na kuvuruga hisia zao kila jina lake litakapotajwa!
 
Kwanza ujue huo ukichaa hata Mwl alishasingiziwaga...Inawezekana akili za hawa wenzetu wawili JKN na JPM zinazidi average people ndiyo sababu tunawaona kama vichaa...Maana kitu usichoweza kukiwaza kikifanyika na biandamu wenzako huku wewe ukiona hukuwahi hata kuwaza lazima useme kuna tofauti ya ufikiri....

Unazidi kupigilia mstari kuwa JPM no version ya 21st century ya JKN
Ukichaa wa Magu ni wa cheti kabisa na kukiri kwa kinywa chake kuwa ni kichaa.

Nyerere hakuwahi kulazwa Mirembe!

Kipi ambacho Magu amewaza na kufanya?

Nyerere alinunua ndege nyingi kuliko Magu,mabwawa ya umeme ndo usiseme,hizo barabara ndo kabisa ata mkoloni aliunga!

Nyerere alibuni falsafa,na alisaidia sana nchi nyingi Afrika kupata uhuru.

Huyo chizi wako alisifika kwa wizi(kafa na tril2 zetu) na uuaji.

Tazama ata viongozi waliohudhuria msiba wa Nyerere na Magu ata kama hauna akili utajua tu ni nani dunia ilimheshimu.

NI KINYAA KUMLINGSNISHA NYERERE na SHETANI KICHAA.

IN FACT NI KUKOSA ADABU!

HAKUNAGA MAGU DAY ILA NYERERE DAY IPO!
 
Ukichaa wa Magu ni wa cheti kabisa na kukiri kwa kinywa chake kuwa ni kichaa.

Nyerere hakuwahi kulazwa Mirembe!

Kipi ambacho Magu amewaza na kufanya?

Nyerere alinunua ndege nyingi kuliko Magu,mabwawa ya umeme ndo usiseme,hizo barabara ndo kabisa ata mkoloni aliunga!

Nyerere alibuni falsafa,na alisaidia sana nchi nyingi Afrika kupata uhuru.

Huyo chizi wako alifika kwa wizi(kafa na tril2 zetu) na uuaji.

Tazama ata viongozi waliohudhuria msiba wa Nyerere na Magu ata kama hauna akili utajua tu ni nani dunia ilimheshimu.

NI KINYAA KUMLINGSNISHA NYERERE SHETANI KICHAA.

IN FACT NI KUKOSA ADABU!
Mie nimekulia karibu kabisa na baba wa Taifa...Ujue ninakumbuka kila kitu alichosingiziwa including hicho cheti cha mirembe!

Unfortunately hao wanaomsingizia JPM ni wa ukoo ule ule wa wakati huo i.e mafisadi, wazembe, ma bwanyenye...Some of them my close relatives...Acheni hizo...Ujanjaujanja hautawafikisha popote at the end of the day nchi ikiwa dhaifu, haina maendeleo wala nguvu JPM ataendelea kuwa distinguished hero japo ilitakiwa awe tu wakawaida!
 
Mwali Nyerere sikumuona kwakweli lakini kwa the way nilivyomsoma na sera ya yake ya ujamaa na kujitegemea sina shakha angekuwepo akamuona JPM angefurahi na naamini angethubutu kusema Tanzania imepata Rais wa pili tangia ipate Uhuru.
 
Mie nimekulia karibu kabisa na baba wa Taifa...Ujue ninakumbuka kila kitu alichosingiziwa including hicho cheti cha mirembe!

Unfortunately hao wanaomsingizia JPM ni wa ukoo ule ule wa wakati huo i.e mafisadi, wazembe, ma bwanyenye...Some of them my close relatives...Acheni hizo...Ujanjaujanja hautawafikisha popote at the end of the day nchi ikiwa dhaifu, haina maendeleo wala nguvu JPM ataendelea kuwa distinguished hero japo ilitakiwa awe tu wakawaida!
Umenena vema kuwa Nyerere alisingiziwa!

Magu hakusingiziwa ni ukweli mchungu kuwa tuliruhusu kuongozwa na kichaa.

Sasa kama ukichaa wake ni legacy,kapime akili yako Mirembe.

By the way hii ni Nyerere day na hakunaga Magu day na haitakaa iwepo labda uko Mirembe,he's gone and decayed the sooner you understand this the better to your mental healthy.
 
Nikiwa mimi mkuu nitaiweka, sasa sema sintakuwa kama wewe ndiyo magawa riziki...
 
Nikiwa mimi mkuu nitaiweka, sasa sema sintakuwa kama wewe ndiyo magawa riziki...
Hautofanikiwa maana hatutakubali tena kuongozwa na vichaa!

Taratibu JK na mama wanawaweka sehemu zenu mnazostahili maana mlichafua sana hii nchi
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tunza haya maneno yako!
Mama tunae mpaka 2030,akifuatiwa na Hussein Mwinyi mpaka 2040 na Mbowe au Lissu makamu ndani ya serikali mseto na katiba mpya, 2060 CHADEMA full!
Utakuwa ushapotea!
 
Nyerere alikuwa mzalendo kwelikweli
Life style yake tu ilikuwa inaonesha

Ova
 
Mama tunae mpaka 2030,akifuatiwa na Hussein Mwinyi mpaka 2040, January 2060!
Utakuwa ushapotea!
Uwiiii nimecheka kwa nguvu...Kama nakuona vile ulivyotishika...Well, neno langu ni amri mkubwa, utajua hujui!
 
Back
Top Bottom