mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
Kwa kuzingatia comments tu mleta uzi umepigwa na kitu chenye ncha kali takoni🤣🤣 usifananishe bahari na dibwi chafu😎😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza ujue huo ukichaa hata Mwl alishasingiziwaga...Inawezekana akili za hawa wenzetu wawili JKN na JPM zinazidi average people ndiyo sababu tunawaona kama vichaa...Maana kitu usichoweza kukiwaza kikifanyika na biandamu wenzako huku wewe ukiona hukuwahi hata kuwaza lazima useme kuna tofauti ya ufikiri....Awali ya yote huwezi kulinganisha kichaa na mtu timamu.
Ivyo walitofautiana saaana,Nyerere alikuwa ni binadamu na Magufuli alikuwa ni shetani.
The ugly/beast and the beautiful are different.
ACHA KUMDHALILISHA NYERERE !!
Na kwa bahati nzuri historia hiyo itakuwa na supporting features kama miradi mikubwa ya SGR na Mwl Hyroppwer....Hata Kama watu wachache wasipomkubali Magufuli Lakini ipo siku Wajukukuu wetu wataitafuta historia
Angalia asidi unayotengeneza isikuwahishe huko kuzimu...Pole!Kila muuaji hana uzima ndani yake, Magufuli alikuwa muuaji, yuko jehanum
Ukichaa wa Magu ni wa cheti kabisa na kukiri kwa kinywa chake kuwa ni kichaa.Kwanza ujue huo ukichaa hata Mwl alishasingiziwaga...Inawezekana akili za hawa wenzetu wawili JKN na JPM zinazidi average people ndiyo sababu tunawaona kama vichaa...Maana kitu usichoweza kukiwaza kikifanyika na biandamu wenzako huku wewe ukiona hukuwahi hata kuwaza lazima useme kuna tofauti ya ufikiri....
Unazidi kupigilia mstari kuwa JPM no version ya 21st century ya JKN
Mie nimekulia karibu kabisa na baba wa Taifa...Ujue ninakumbuka kila kitu alichosingiziwa including hicho cheti cha mirembe!Ukichaa wa Magu ni wa cheti kabisa na kukiri kwa kinywa chake kuwa ni kichaa.
Nyerere hakuwahi kulazwa Mirembe!
Kipi ambacho Magu amewaza na kufanya?
Nyerere alinunua ndege nyingi kuliko Magu,mabwawa ya umeme ndo usiseme,hizo barabara ndo kabisa ata mkoloni aliunga!
Nyerere alibuni falsafa,na alisaidia sana nchi nyingi Afrika kupata uhuru.
Huyo chizi wako alifika kwa wizi(kafa na tril2 zetu) na uuaji.
Tazama ata viongozi waliohudhuria msiba wa Nyerere na Magu ata kama hauna akili utajua tu ni nani dunia ilimheshimu.
NI KINYAA KUMLINGSNISHA NYERERE SHETANI KICHAA.
IN FACT NI KUKOSA ADABU!
Umenena vema kuwa Nyerere alisingiziwa!Mie nimekulia karibu kabisa na baba wa Taifa...Ujue ninakumbuka kila kitu alichosingiziwa including hicho cheti cha mirembe!
Unfortunately hao wanaomsingizia JPM ni wa ukoo ule ule wa wakati huo i.e mafisadi, wazembe, ma bwanyenye...Some of them my close relatives...Acheni hizo...Ujanjaujanja hautawafikisha popote at the end of the day nchi ikiwa dhaifu, haina maendeleo wala nguvu JPM ataendelea kuwa distinguished hero japo ilitakiwa awe tu wakawaida!
Nikiwa mimi mkuu nitaiweka, sasa sema sintakuwa kama wewe ndiyo magawa riziki...Umenena vema kuwa Nyerere alisingiziwa!
Magu hakusingiziwa ni ukweli mchungu kuwa tuliruhusu kuongozwa na kichaa.
Sasa kama ukichaa wake ni legacy,kapime akili yako Mirembe.
By the way hii ni Nyerere day na hakunaga Magu day na haitakaa iwepo labda uko Mirembe,he's gone and decayed the sooner you understand this the better to your mental healthy.
Hautofanikiwa maana hatutakubali tena kuongozwa na vichaa!Nikiwa mimi mkuu nitaiweka, sasa sema sintakuwa kama wewe ndiyo magawa riziki...
Tunza haya maneno yako!Hautofanikiwa maana hatutakubali tena kuongozwa na vichaa!
JK na mama wanawaweka sehemu zenu mnazostahili maana mlichafua sana hii nchi
Karibu..Tunza haya maneno yako!
Mama tunae mpaka 2030,akifuatiwa na Hussein Mwinyi mpaka 2040 na Mbowe au Lissu makamu ndani ya serikali mseto na katiba mpya, 2060 CHADEMA full!Tunza haya maneno yako!
Uwiiii nimecheka kwa nguvu...Kama nakuona vile ulivyotishika...Well, neno langu ni amri mkubwa, utajua hujui!Mama tunae mpaka 2030,akifuatiwa na Hussein Mwinyi mpaka 2040, January 2060!
Utakuwa ushapotea!
Umtishe nani ata kuandika tu hujui😂😂Uwiiii nimecheka kwa nguvu...Kama nakuona vile ulivyotishika...Well, neno langu ni amri mkubwa, utajua hujui!