Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

Upande mwingin amber ajutia mtumizi ya pombe kali

IMG_20210506_123057.jpg
 
Jana insta nimecheka sana
Watoto wengi sana huwa wakiwa wamezaliwa sura inakuwa haijajitengenza vyema
Insta ukisoma comments za watu kuhus huyo mtoto wa Amber, zingine zinavunja mbavu mno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nilicheka San hii, "mbona mtoto mwenyewe amezaliwa huku amestaafu". Yaan ni comedy tupu mweeeh
 
Mungu amkuzie mtoto wake ,Amina.
Binadamu hana mamlaka ya kukashfu kiumbe alichoumba Mungu. Kina mama,wadada ambao hamjazaa hamjaingia leba acheni kukashfu mtoto wa mwenzenu, Mungu ni mkali sana. Anaweza kukupa mrembo lakini tahira. Huyo mtoto bado mdg akifikisha miezi 6 mtamsahau.
 
Back
Top Bottom