Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

Kuna kipindi jukwaa la picha lile uzi wake ulifutwa na mods kutokana na kupost picha yeye na mwanaume mwenzie wakiwa wanavalishana Pete za uchumba na kudai kuwa ni uhuru wake asiingiliwe maamuzi yake
Duuuhhh aiseee wala sikuona my.
 
Nilichojifunza majina ya mademu wanaojiita Lulu wanakuwa Wamepinda sana na Micharuko.

Lulu Diva
Amber Lulu
Lulu
Michael
Amber Rutty
Amber Rose
Kuna. Mmoja tulisoma nae alikuwa anaitwa lulu, tukiwa Form two alivaa pedi darasani na wanafunzi wote (boys na girls) wakiwepo wala hakuogopa chochote
 
Back
Top Bottom