Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

Nafurahi nikimuona msanii wa kike mbali ustaa anakumbuka kuwa na mtoto [emoji4][emoji4]kuwa mama ni baraka sana
Wakumbuke pia kuwa na waume wa japo miongo miwili kama Melinda Gates
 
Mtoto wa Hamorapa nini?
 
@warumi huu umbea ulikupita vipi?
 
Ndiyo bado Jah hajanijalia uzao.
Lkn mbn hata Mimi sijajaliwa lkn nazijua ABC za makuzi ya mtoto,tena Mimi ni wa kiume

Au pengine ni Kwa sababu ni wa Kwanza alafu nimewalea sn wadogo zangu walionifuata..Mimi hata uniachie mtoto wa miezi miwili namlea vizuri na kumpa huduma zote bila tatizo

Nadhani mama watoto huko mbele ya safari hatapata shida kabisa[emoji1787]
 
Hongera sana na ubarikiwe kwa malezi uliyonayo, Jah akakupe mwenza wa kufanana na wee. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Amnyonyeshe mtoto sasa na si kuwa nyonyesha watu wazima,maana wadangaji wana amini wakinyonyesha watoto wao maziwa yata dondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…