Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

Kwanini uliingia kwenye mahusiano na huyo mpori-pori mwenye sura mbaya? Ulivyomkubali hukuona hizo kasoro? Au ndo ulitamani kula hela zake kwasababu ya umasikini wako?
 
Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.

The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.

Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.

Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block ama nisijibu wala kupokea sms zake?
Kuanzia January 2023 tunatumia mabomu maana risasi zimeshapitwa na wakati
 
.
763c7ec2c9f7d048f6e53a8adfe15798.jpg
 
Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.

The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.

Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.

Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block ama nisijibu wala kupokea sms zake?
Ndio maana mnatwangwa risasi

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ngoja kwanza..

Hivi mwanaume ndiye anapaswa kumuahidi mwanaume ndoa au ni mwanaume?!
Mwanamume ndio muoaji. Yeye ndo anayepaswa kumuahidi ndoa mwanamke. Kwahiyo hata kupanga siku ya ndoa ni jukumu la mwanaume, sio mwanamke Kama anavyoeleza mleta mada hapa.
 
Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.

The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.

Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.

Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block ama nisijibu wala kupokea sms zake?
Kama uko serious basi laana inakunyemelea. Baada ya kufaidi vya mwezio ndio leo umemuona mporipori, eenh? Malipo ni hapa hapa duniani. Mkimbie tu uone balaa zitakavyokuandama. Utarudi mwenyewe kumpigia magoti while it's already too late!!
Ama kweli baadhi ya wanawake akili ziko matakoni!
 
Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.

The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.

Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.

Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block ama nisijibu wala kupokea sms zake?
Mpe 0719, atabadilika tu
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Mkimbie tu uone balaa zitakavyokuandama. Utarudi mwenyewe
Hii imekaa kiimani zaidi, hivyo unafanya kazi kwa wanaoamini kuwa dhulma hulipwa. Lkn kwa asiyeamini maisha yanasonga kama kawa tu.

Hivi unajua watu wengi tunaowaita kuwa "wametoboa kimaisha" wamedhulumu somewhere somehow?
 
Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori.

The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha.

Kanifanyia makubwa sana hapa mjini. Nilimuahidi mwakani ndiyo tutaoana, sasa hivi ana-push kwamba apeleke barua home kwetu after two weeks, ndiyo maana nataka nichomoe kiaina.

Nipeni mbinu. Nimpe makavu laivu kwamba wewe mpori pori, nim-block ama nisijibu wala kupokea sms zake?
Pesa zake na mali yake siyo za kiporipori. Ninyi ndiyo mnauwawa kimasihara. Kwanza umempotezea muda. Pili unamlia au ulimlia mali na pesa huku ukijua huna hisia naye. Sasa unataka upewe mbinu za kumuacha. Wewe huna tofauti na wale wanaojiuza mitaani Dar kama vile mtaa wa Ohio. Hao hawajali sura bali pesa na mnunuzi anajuwa akipewa uhusiano unaisha baada ya malipo. Sasa wewe unataka kusitisha uhusiano baada ya kulipwa. Ningekuwa mimi unaniufanyia hivyo na nikajuwa ningekupoteza kiaina. Tena kupotea kwenyewe ningetumia watu toka nje ya nchi kukupoteza. Malaya mkubwa wewe.
 
Kama tayari uzi
Basi jitafakari huwenda ushalogwa tayari. Nenda baharini kaoge maji ya chumvi na kanunue mafuta ya upako na maji unywe asbh mchana na jioni
Acha Imani potofu wewe. Usikute hapo umening'iniza hirizi kiunoni kwako!!! Mxiuuuu.

Nikajua unacho cha maana kumbe unaamini ushirikina!!!?
 
Back
Top Bottom