Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Kaka angu alioa kwa 7 m, endelea kushangaa hiyo 3
Mimi hata milion 1 sitoi. Utoe hela na mwanamke siyo bikra unatafuta nini cha zaidi?
Soda inayouzwa 600 mtaani ukienda hotel kubwa utanunua hadi 5,000. Wala sishangai
Kaka yako alipigwa. Ogopa matapeli
 
Unaweza kutoa fgo na kukimbiwa pia.

Tunapoanza jambo hatuangalii kushindwa bali kushinda
 

[emoji23][emoji23][emoji23] uyu jambazi
 
Unaweza kutoa fgo na kukimbiwa pia.

Tunapoanza jambo hatuangalii kushindwa bali kushinda
Usitafute kuwa na huruma na upendo kwa mwanamke kwa kutoa mahari ya milion 3.
Wakati ndugu zako wakikuomba hata 50,000 unasema hauna wakati unayo.
Kuna watu wamesomesha, wengine wametoa mahari kubwa lkn mahusiano hayakudumu.
Unamwambiaje Stamina kwasasa?
 
Abeeeeee at ndoa ni bahati? So Manara hana bahati ya ndoa? Na hawa wanao achana kila siku vip?

Enewe ayamu riding ze komentis.
 
Unataka kuniambia unaweza kuumaliza umaskini wa ndg zako?
Jaribu kuwapa 10m@ then mwakani waendeee kama utazikuta.
 
[emoji117][emoji817][emoji817]

Kweli kbs
Walisemaga ivyo ivyo wakabaki na manyoya....[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji275][emoji275][emoji846][emoji846]
Waambien wazazi na wadogo zenu kama ukimchunguza mtu ukajiridhisha kinacho fuata mambo yasiwe mengi....
 
Unataka kuniambia unaweza kuumaliza umaskini wa ndg zako?
Jaribu kuwapa 10m@ then mwakani waendeee kama utazikuta.
Unafikiri unaweza kuumaliza umasikini wa ndugu wa mwanamke kwa kuwalipa mahari kubwa?
Unatoa mahari kubwa siku ukigongewa unaanza kutafuta magunia ya mkaa, bastola au kitu chohote cha kumuua mwanamke.
Yule jamaa wa mwanza Saidi ilibidi ampige risasi mkewe na yeye kujiua maana aligharamika sana kumsomesha, mahari ya harusi n.k mwisho wa siku mwanamke anataka kurudiana na ex wake tena choka mbaya
 
Kama kajijenga anashindwaje kutoa hiyo million tatu?hamna kitu hapo huyo ni mnyonge tu πŸ˜…
 
Kajijenga wapi,Hana maadili anataka kumchukua binti wa watu akaishi naye kihuni πŸƒbinti kastuka
 
Kama kajijenga anashindwaje kutoa hiyo million tatu?hamna kitu hapo huyo ni mnyonge tu πŸ˜…
Kuna wakati unataka kununua bidhaa ila bei ya bidhaa hailingani na ubora wa bidhaa.
Flash drive 2GB, bei ni 60,000. Hata kama wewe ndiyo Biligate utanunua?
 
Tafuta wa uwezo wako,milioni tatu ni hela ndogo binafsi sikuolewa kwa mahali ndogo hivo
Makorokolo ndo angalau 2M weka na mahari sasa
Dah, aliyekuoa kwa mahari kubwa zaidi ya 3m sijui aliwaza nini. Sasa kama unashindwa kutofautisha kati ya mahari na mahali... Labda aliikuta iko silidiπŸ˜€
 
Binafsi wake zangu wote wawili niliwaoa kwa mahari ya msaafu. Kuna wazazi waliwahi kusteti kwamba wamekaa wamefikiria wakaona ni vyema nitoboke 1m. Nikacheka kwa nguvu, nikamvuta mshenga mkono tukaondoka zetu bar huku tunakenua
 
Sio lazima kuoa ogopa matapel Piga puchu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mimi hata milion 1 sitoi. Utoe hela na mwanamke siyo bikra unatafuta nini cha zaidi?
Soda inayouzwa 600 mtaani ukienda hotel kubwa utanunua hadi 5,000. Wala sishangai
Kaka yako alipigwa. Ogopa matapeli
 
Binafsi wake zangu wote wawili niliwaoa kwa mahali ya msaafu. Kuna wazazi waliwahi kusteti kwamba wamekaa wamefikiria wakaona ni vyema nitoboke 1m. Nikacheka kwa nguvu, nikamvuta mshenga mkono tukaondoka zetu bar huku tunakenua
Msaafu wenyewe umeusoma mara ya mwisho lini?πŸ˜…πŸ˜…maskini ukute hata Madera yabei rahisi huwa huwanunulii
 
Mimi hata milion 1 sitoi. Utoe hela na mwanamke siyo bikra unatafuta nini cha zaidi?
Soda inayouzwa 600 mtaani ukienda hotel kubwa utanunua hadi 5,000. Wala sishangai
Kaka yako alipigwa. Ogopa matapeli
That's your point of view, I can't offend.

Ila unataka mwanamke bikra Ili hali wewe mwenyewe ushapiga Hadi threesome alafu unasema nataka mwenza bikira, aaah Kila mtu na apate wa kufanana nae 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…