Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

Well said
 
Muolewaji hampendi kwa ajili ya upendo ila kwakua anamuona anahela na jamaa anampenda hivyo anaona atafanya apendavyo. ..in nutshell hakuna mapenzi hapo ila dada anapenda hela ya jamaa tu
 
Mkuu naomba sasa tuwe siriaz kidogo.

Hebu niambie ukweli toka moyoni.
3m ni pesa kubwa?
Pesa yako kubwa kushika mara moja ni kiasi gani?

Huenda ninaweza kukuelewa...
KUwa mkweli
Na kwl atuambie acje kuwa analalamika kumbe huo ndo mtaji wake,,[emoji3][emoji3]
 
Haijalishi ni kubwa au ni ndogo ila siwezi kutoa mahari ya milion 3. Hata kama angekuwa bikra
Pesa nitakayotoa ni mwisho laki 7 tofauti na hapo akatafute mwanaume mwingine wa kumuoa.
Hehehe km iyo ndo ela yako ya mwxho bhc tafuta tu saiz yako acha kujipigisha kelele kuwa kuolew ni bahat kumbe ubahili umekujaa
 
Kuna mwamba mmoja walimfanyia hivyo,binti akiwa mjamzito,jamaa alitaka kwenda kuposa,wakamwambia fine 200,000 na posa 200,000,jamaa akastuka akajipinda jamaa akapeleka laki 3, wazazi wa Binti wakawa wakali,wakadai wapewe laki moja iliyobaki,na wakampa mkeka wa mahari 3M ,jamaa alilipa,ila baada ya hapo ile ndoa iliota mbawa kwani uliibuka uhasama na kulipiziana visasi.so kuweka mahari kubwa au kumkomoa mwanaume sio ufahari,ni ujinga na kutokuelewa nini maana ya Ndoa, Ndoa ni undugu,mtu anapokuja kuoa kwenye familia yako huyo ni sehemu ya ndugu yako,ikifungwa ndoa atahusika kwenye mambo yote yanayotokea kikeni au kiumeni.
 
Wanawake wanacho tafuta ni Ile heshima ya kuolewa kihalali HARUSI..

KUNA NDOA NA HARUSI HAYA NI MANENO MAWILI YENYE MAANA TOFAUTI

Unaweza kuolewa harusi Kwa mbwembwe nyingi na ndoa isidumu....

Mwingine akatoroshwa na ndoa wakadumu mpk uzee

Sahihi[emoji419][emoji419]
 
Huyo mwanaume si aende ukweni awasikilize?;tangu lini binti akapanga mahari bila wazazi na ndugu wengine?

Halafu huyo mwanaume ye anatakaje kwani? Sogea tukae?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa maelezo yako Mimi sijaona ubaya wa binti bali naona kijana anatumia mafanikio yake kukiuka utaratibu zilizowekwa

kwa dizaini hii nahisi binti akiingia kwenye ndoa anaweza kuumizwa sana

pia kijana analeta dharau kwa kuwa upande wa binti ni maskini
Tena hata kijana amekulia umaskini na amepata mafanikio juzi tu.
 
Kajijenga wapi,Hana maadili anataka kumchukua binti wa watu akaishi naye kihuni 🏃binti kastuka
Naona kama huyo mdada hajavutiwa Kimapenzi na huyo jamaa anataka kumuoa

Mdada asipompenda Mwanaume ana tabia ya kuweka masharti mengi, kabla ya kuolewa au kutoa papuchi.

Women make rules for beta males, but break rules for alpha males, eti Ooh i don't sex on first date/i don't kiss on first date/mpaka umuoe ndo akupe nyapu, ukitaka umuoe ufanye harusi ya gharama x, oh Niko busy, fanya hivi fanya vile ndo upewe papa, masharti kibao ka ya mganga

Angekuwa mdada mwenye upendo na huyo mwanaume, angemuuliza mumewe to be ana uwezo wa kutoa mahari ya tshs ngapi, najua laki 5 ya mahari haimshindi huyo jamaa, harusi sio lazima, mnaenda kanisani 20 people wazazi na ndugu pande zote mbili, mbele ya mchungaji mnabariki ndoa, mkirudi nyumbani pilau Ndizi kuku na soda Zinawasubiri, Harusi imeisha hiyo Melki the Storyteller Ironbutterfly scolastika amadala
 
Sasa mtu hajamridhia anataka kufosi kumuoa,halafu baadae wakianza kummegea aje na nyuzi jf kuja kutukana wanawake wote
 
Muoaji afuate utaratibu unaopaswa hata kwenye Biblia Jacob alifanya kazi kwa Laban miaka 7 Ili ampate Rachel, vijana wa siku hizi mnarahisisha Kila kitu kina protocol na baraka zake kutoka kwa wazazi.
Mwanaume aliependa ashindwi jambo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…