Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Nimejaribu kufuatilia kumbe kuna kubid..so kumbe unaweza kuwa na hela lakini ukakosa hizo bonds?kwa hati fungani ya miaka 20 atapata kila baada ya miezi 6 karibu mil 6, ambayo kwa mwezi ni kama laki 8 na zaidi.