Amini usiamini kuanzia Bunge lijalo hapatatosha

Kuhusu Naibu wa spika huyu wala usimjadili sana kwani anachojua yeye ni kubadilika kulingana na upepo ulivyo kwani hana msimamo naye ni kama ndugai tu ,sema ndugai akichanganya tu akishauriwa atabadilisha kauli kwani Wagogo hawajui tabia zao za usaliti
 
Ni vizuri ukajikita na mambo ya kwenu Burundi. Kubali tu mburundi mliyempandikiza Tanzania keshakufa na mipango yenu ndo imeshakufa
 
Kabisa, haiwezekani mtu akope trillion 8 bila idhini ya bunge halafu anapeleka Zanzibar kirahisi rahisi tu, hilo deni walipe Zanzibar wenyewe!!
 
Fact 👍
 
2025 ndio ulikua mwaka wa kuitoa ccm,, sema bahati mbaya wa kumtoa ccm ndio hayupo daaaa
Fallacy. Huwezi kuitoa dola madarakani. Mtaje huyo mtanzania anayeweza kuitoa polisi, TISS, JWTZ madarakani. Labda kama hujui CCM ni nini.
 
then what!!!?!! watafanya nini!!?! hata wangekuwa 150% what will they do!?! maana top manyota ndio kila kitu wakimchoisha analivunjilia mbali bunge!!,wacha hizo ndugu yangu we fikiria kamhogo kako, hao wooote unaowazungumzia wanafikiria kamhogo kao hawakufikirii wewe!!! kila mtu na kamhogo kake ndio tulivyo nchi hii
 
Hujui kabisa CCM ni nini. Labda bado kama wengi unafikiri kile ni chama cha siasa. Ile ni dola yenyewe inayotii kauli ya mtu mmoja tu - Rais na sio ya "mjinga" mwingine yeyote. Naye amesha-set nguzo zake huko. Kuombea mgawanyiko "CCM" ni kutarajia polisi, TISS, JWTZ wapasuke vipande vipande. You should know the consequences thereof. Kikubwa hiyo ni ndoto ya Alnacha (pipe dream).
 
litavunjwa projection inaonyesha hivyo....
 
Umeandika ukiangalia only ONE side of the COIN na upo sahihi kwa upande huo.
On the OTHER side,hebu angalia jinsi KATIBA yetu ilivyompa nguvu Mh.Rais hata mpaka BABA WA TAIFA akaizungumzia uhatari wake,kabla huko Bungeni hawajaleta hoja ya kum impeach Rais yeye atakuwa amekwisha wa impeach
kisayansi.
Bunge la January nionavyo litakuwa LIVE
Kina Halima out na hapo sisi wananchi tutawapima wawakilishi wetu....Mh.Tulia in Hon Ndugai out tufanze subra.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa, haiwezekani mtu akope trillion 8 bila idhini ya bunge halafu anapeleka Zanzibar kirahisi rahisi tu, hilo deni walipe Zanzibar wenyewe!!
Katiba ya JMT na ya CCM zinamruhusu kutumia pesa za JMT anavyotaka. Kwanza nani anajua serikali ina pesa kiasi gani wakati wowote ule. Rais anaweza hata kuagiza uwanja wa ndege wa kimataifa ujengwe Pemba na hakuna atakayekataa. Utasikia waja wakiunga mkono na kusema kwani Pemba ni Burundi? Si ni sehemu ya JMT?!

That's the unpleasant reality of Tanzania's twisted governance systems, myopic vision and poisoned politics under the rule of "CCM". Na tukiendelea kugomea kurekebisha hii hali, basi tuendelee kutegemea rehema na fadhila za rais aliyepo madarakani siku zote kama Nyerere alivyosema.
 
Hii katiba inarekebishwa lini, maana tumechoka sasa, lini inarekebishwa?!
 
Sema kijiwe cha Wana Lumumba, na sio bunge
 
We ni mjinga sana,kwa mfumo wa nchi yetu huwezi kushindana na mtu ambaye ndio rais,mkuu wa nchi,amiri jeshi mkuu,mwenyekiti wa chama na ukamshinda,muulize lowassa
 
We ni mjinga sana,kwa mfumo wa nchi yetu huwezi kushindana na mtu ambaye ndio rais,mkuu wa nchi,amiri jeshi mkuu,mwenyekiti wa chama na ukamshinda,muulize lowassa
Sawa hata mimi naamini Raisi ana nguvu Sana!!lakini sintofaham ya kifo cha JPM kimeleta mwanga kuwa kuna idara ipo juu ya Raisi wa nchi!!kwamba wakitaka lao Hakuna wa kuwazuia!!!Thread za tumia akili na Magamba matatu !zinatupa mwanga jpm hakuitwa kiasili bali kisasa!Hata madaraka yanaweza kutwaliwa kisasa akapewa mwingine!!The State wapo na wanaona kila kitu!!!
 
Kama JPM alitwaliwa kisasa unadhani chawa wake ndio watasurvive,ukikata shina automaticalky na matawi yanakatwa
 
Nawaona jwtz haoooo mguu upande mguu sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…