Amini usiamini kuanzia Bunge lijalo hapatatosha

Hata chadema
Kupambana na mwenyekiti ukiwa ndani ya chama chake unahitaji akili kubwa ambayo kwa sasa ndani ya ndani ya Chama haipo…
Ndo maana zito kabwe na kitila walipo jaribu walifurushwa kama mke aliefumaniwa au sumaye alipo unusa uenyekiti alikosa hata kiti cha kanda ya pwani
 
Baada ya bunge la muhula huu, Ndugai alishasema anaachana na siasa...

Sioni haswa sababu ya Job kuanza kuleta fujo isiyo na maslahi yoyote kwake...
Huwezi kuona maslahi yake kama hutumii jicho la 3 Mkuu.
 
Mmuda muafaka wa kuchochoea kuni... ccm ijikaange kwa mafuta yake yenyewe!!
Magufuli fooled all of you mkahisi mpo salama kumbe alihamishia serikali jashini!!
Sasa mnarudi kwa wananchi...
 
Ha ha haaaa Ndugai wa CCM, hana kitu yule, kitu anaweza ni kuonea wapizani kwa kuwafukuza bungeni kwa sababau ana polisi. Otherwise Ndugai hakuna kitu. Ndugai ni mzigo kwa taifa.
 
Yetu macho na masikio !! Tuombe uzima tu !
 
Nyie wapinzani endeleeni kudemka lakini kumbukeni hakuna wa kuitoa CCM madarakani kwa sababu hatuna chama mbadala. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Hamna chochote hamtubabaishi Kwa lolote mnavyotaka twataka
 
Kabisa, haiwezekani mtu akope trillion 8 bila idhini ya bunge halafu anapeleka Zanzibar kirahisi rahisi tu, hilo deni walipe Zanzibar wenyewe!!
Kumekuchaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbunge akishalambwa kichwa kwenye uchaguz na kamat huku anakwisha kabisa,same principle aliyoitumia JPM kukata watu na kupitisha watu wake wanajua pia wasipokua royal kw SSH watalambwa na mwishowe watapoteza wao.Siasa za Tanzania ukishapigwa chini na chama ndo imeisha hivyo
 
Kama JPM alitwaliwa kisasa unadhani chawa wake ndio watasurvive,ukikata shina automaticalky na matawi yanakatwa
Unaaminije Kama the State wanaitaka mama atawale tena hapo 2025?Kumbuka mpango ulikua kum eliminate namba moja na mbili lakini kutokana na unyenyekevu wake namba mbili kapewa muda hadi hapo 2025!!! Unafikiri alieandika kuwa mama hagombei tena uraisi 2025 kwenye gazeti la uhuru ni nani???hadi shaka akajibu?unafikiri mwandishi alitumwa na muhuni tu wastendi???Kasome tena nyuzi zote mbili za Tumia akili!!halafu uache uchawa uwe neutral utanielewa!!!!nisiandike Sana msije dhani kuwa najua mengi!!
 
Mambo yameanza kutaradadi. Mweeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mfano mzuri Askofu Gwajima.!
 
Unakosea kitu kimoja, rais wa sasa hajachaguliwa kwahyo hana nguvu hiyo unayoisemea naye ndio kwanza anatengeneza mfumo wake, lakini sio rahisi kutengeneza mfumo mpya wakati upo mfumo uliomuweka Magu, kwahyo anapambana na nguvu ya Magu ambayo kiuhalisia ina nguvu bado za kutosha tu, alichokosea yeye baada ya Magu kufariki alipaswa kuwa pamoja na kundi lile la Magu sasa yeye analiondoa taratibu kuweka kundi lake, ni ngumu sana kwani yeye pia alikuwa kundi la Magu, kwahyo ni sawa na kusema bado kundi la Magu lina nguvu kwenye hii awamu na linajipanga kuweka mtu wao, subiria uchaguzi ufike ndio utawajua sukuma gang
 
Sawa Mkuu
 
Hakuna lolote. Ccm ni wezi walewale jana,leo hadi watakapong'olewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…