Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

watajaa wanawake hapa kwasababu hawaangalii mpira
 
Maisha yakiwa magumu ni kwako mzee pambana na Hali yako ugumu wako wa maisha usifanye sisi tusienjoy soka eti kisa Kuna mjinga mmoja anasema watanzania hatuna habari na nchi fanya maisha Yako hujaja na mtu duniani hapa acha shobo
 
Mie niwekee hata 1 milion afu niambie nikutajie wachezaji wa 3 wa yanga au simba hakika hiyo pesa nitakuwa nimeikosa, yaan had najishangaa mbona mie sio mshabiki na siwez kuangalia mpira kabisa
 
Yani umeongea ukweli mtupu.Sisi watanzania ni kama mazuzu aisee..mpira wa Yanga na Simba ndio kama unatumuka kutuzubaisha tusijadili ya msingi hawa wapuuzi sijui walitufanya nn na hizi akili zetu.Tunatawaliwa kiboya

Mkuu, kwanini nyinyi hamfanyi hayo yasiyofanywa na wapenda soccer
Tuna fanya lakini inahitajika nguvu zaidi kwasababu nimsiba wa wote
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…