Amka mpira unakuibia haki yako ya msingi

Umeona akili Yako ilivyo ya Mavi kwahiyo kama betting inaniingizia hela nisibet nije nilieliea na na njaa kama wewe hapa mda huu fanya kazi mbuzi we hujaja na mtu duniani punguza ushauri kwenye maisha ya watu
Njoo nikulee hapa nyumbani Kuna chumba utalala na wadogo zako

pengine nta fanikiwa kupunguza utumbo ulio jaa kichwani kwako
 
Sawa ila yanga kufungwa jana imeniuma sana.
 
Njoo nikulee hapa nyumbani Kuna chumba utalala na wadogo zako

pengine nta fanikiwa kupunguza utumbo ulio jaa kichwani kwako
Jaribu kuilea kwanza akili Yako naona haipo sawa unakurupuka kuandika utumbo humu kumpangia watu Cha kufanya hivi unaakili timamu kweli njaa zako hasira unaleta Kwa watu🤣🤣🤣🤣
 
Jaribu kuilea kwanza akili Yako naona haipo sawa unakurupuka kuandika utumbo humu kumpangia watu Cha kufanya hivi unaakili timamu kweli njaa zako hasira unaleta Kwa watu
Mwenye njaa hulopoka hovyo

Mwenye hasira hutukana hovyo

Asiye timamu humtukana hata asiye mjua

Hizo sfa zote niza kwako ndugu yangu
 
Mwenye njaa hulopoka hovyo

Mwenye hasira hutukana hovyo

Asiye timamu humtukana hata asiye mjua

Hizo sfa zote niza kwako ndugu yangu
Rudi kwenye Uzi wako ndio utajigundua wee hamnazo na njaa inakusumbua eti kabisa unaandika gazeti kuongelea mpira kwa watu ambao hawajawahi kukuomba hata mia na wanaishi maisha Yao hawana shobo na wewe fanya kazi mzee utalaumu Kila mtu mpaka mtoto anaezaliwa Leo utaona kama kakusababishia umasikini wako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naona kiswahili hapa TANZANIA, kinaelekea kututupa mkono, hasa kwenye idara hii
L - R
Yeah! Yaani kiingereza tumekwisha kuizika na Kiswahili kinazidi kututupa mkono. Naona miaka mwili inayokuja tutakuwa hatuna lugha inayoeleweka.

Tutakuwa hatuna tofauti na wale watu waliokufa ambao duniani hawapo na mbinguni hawapo, wakatoliki wanasema wako 'toharani'
 
una changamoto ya R na L, lakini unayo HOJA ya msingi. ni kweli ila tusiulaumu mpira kwakua ni burudani kwa wengi wetu, tatizo wabongo tuna bongo ngumu kukubali kueleweshwa ili tubadilike kimtazamo, fikra na kimaamuzi.
 
Hivi wewe chizi fresh

kuna sehemu nimeandika kwamba dishi Kama wewe nilazima usome na ku comment kwenyye huu uzi wangu?

Unasema nna njaa Inani sumbua Mimi na wewe tunajuana? au Nisha wai kukuomba pesa ya kula?

Acha mazoea ya kishamba af acha masiara kwenye Mambo ya msingi hapa kichaa wewe

Mimi nazungumzia watu ambao wapo addicted na Mopira kiasi kwamba mpaka Wana sahau majukumu yao ya msingi

je nikosa kufanya hivyo?

Je kwauzoefu wako kwenye mpira hakuna watu Kama hao? Au gongo za bila kula zinakuzingua?

Sja andika hii kitu kwa kubahatisha.

kunakijana wangu juzi nime mpa shilingi milioni 21600000 akalipie mahindi gunia 300 sehemu

Cha ajabu kachomoa Kama 50000 na kwenda kubetia mpila wa jana mkulima akanipigia pesa ime feri Kama 50000

Namuuliza ananiambia mkulima atakuwa kaiba.

baabda ya kumbana Sana na kutishia kumpiga chini kikazi ndipo akakubali kwamba alichomoa

Baada ya kumhoji Sana alifanyia Nini ikaonekana alienda kubetia mpila wa jana na kaliwa baada ya yanga kupigwa. Sasa huo si ubwege na undezi?

Unadhani Kuna vijana wangapi wa tz walio halibikiwa akili zao Kama huyu kijana wangu wa kazi?

Af anatokea kichaa mmoja Kama wewe na visungura vyako kichwani unaniambia nikaekimya how?

Kwahiyo ninacho kuzungumzia nikitu ambacho nimeishi nacho na naishi nacho Fu... you scoffer.,,
 
Kaka hilo jinga achana nalo halijui hata matumizi sahihi ya smart phone
Linalopoka Tu pole sana usikasirike kiivo jua kuwa haya ndio mpuuzi hayana hata faida duniani hapa. daaa au nimepiliza?
 
Mkuu jitahidi kusummarize mada
 
Wewe ambaye uko macho, tusaidie kuondoa hayo mapungufu. Wacha sisi tuendelee kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…