Amos Makalla amshambulia Freeman Mbowe mbele ya Rais Samia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu "you are misinformed"...

Hii ni siasa mkuu...

Mkuu hii ni siasa mkuu...

Siasa za vyama haiko katika "altare ya BWANA....

Siasa za vyama haiko katika "mimbar na vibla ya misikiti" mkuu wangu....

Siasa inahusu watu na maslahi yao....

Watu hubadilika hisia...

Watu huwa na mihemko...

Unataka tufanye siasa za vyama kwa mfumo upi ?!!![emoji1787][emoji1787]

Acha kulialia...mwezi wa 7 twende zetu Makunduchi tukaoge mwaka na kutambika katika sherehe mujarabu za MWAKAKOGWA [emoji1787][emoji1787]

#YetzerHatov[emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unazidi kueleweka vzr jamvini nini mmesimamia 🤣🤣. NB; Hizo mambo za makunduchi usiniweke humu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom