Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

Huyo jamaa ni kilaza sana jambo lolote la simba hata la kijinga atalitetea piga picha mtu kama huyo anakuwa kiongozi wa mpira kwa akili hizo alizokuwa nazo
 
Wewe ni mtoto nani asiyekujua hata uandike ma-article makubwa haitaondoa ukweli

Ukweli ni kwamba Yanga walikosea kwenye mkataba wa kagoma mbona iko wazi watu kama sisi hatuwezi tetea ujinga kama wewe
 
Kwani umma ni lazima Amri Kiemba aelewe?

Ikiwa ripoti ya CAG kuhusu matumizi holela ya fedha inatolewa kwa UMMA lakini wa Adzabe wameshindwa kuielewa je hiyo itafanya ripoti hiyo ionekane ya uongo kwasababu kuna wa Adzabe hawajaelewa?
Kama wa adzabe hawajaelewa lakini ripoti iliwekwa hadharani hilo ni jambo jingine sasa..
 
Yap kama wewe unavyo ikataa sababu inakunufaisha wewe. Sasa kipi cha ajabu.
Mimi sijadili maoni.

Mimi natoa nukuu

Hapo ndio utofauti wa mimi na nyie. Ni utofauti kati ya mbao na kuni.

Amri Kiemba ni maoni. Mimi nimegusa press release ya TFF kwa ku site sababu walizoziainisha wao.

Sasa hapo ni eidha ukubaliane nazo au uzikatae lakini haina maana kuwa hazikuandikwa.
 
Nukuu ya timu kama isipofanya mazoezi,inatakiwa kugomea mechi umeitoa wapi na kwenye kanuni gani?
 
Mtoto hatakagi kukua
Na mkubwa hawezi kupoteza muda wake kubishana na mtoto.

Mara nyingi hiyo ni sifa ya watoto kwa watoto wakikutana.

Na kwa kuthibitisha hilo kuwa wewe ni mtoto mwenzangu naweza kutabiri pia hata baada ya hapa utakuja tena kujibu hii post yangu.
 
Kazi ya mkubwa ni kumfundisha mtoto kama wewe ni wajibu wetu
 
kwahiyo umeelewa kwamba sababu ya kuaghairisha mechi ni muhimu!!!
Naelewa. Ila sio lazima sababu hiyo iwaridhishe wote.

Na usipo ridhishwa haiondoi maana kuwa sababu haikuwepo.
 
Kazi ya mkubwa ni kumfundisha mtoto kama wewe ni wajibu wetu
Umeona sasa tatizo lipo kwa nani?

Kweli kwa watu wa sampuli yako unafikiri ni ngumu kaisi gani kutoacha mwanya kwa viongozi yClub yenu kutumia udhaifu huu kuwaongopea?

Je hii ndio kuthibitisha kuwa Manara alikuwa sahihi?
 
Nukuu ya timu kama isipofanya mazoezi,inatakiwa kugomea mechi umeitoa wapi na kwenye kanuni gani?
Wapi nimeweka hayo madai nikisema kuna nukuu nimeitoa somewhere ikisema timu isipofanya mazoezi igomee mechi?
 
Reactions: Tui
Kama wa adzabe hawajaelewa lakini ripoti iliwekwa hadharani hilo ni jambo jingine sasa..
Na press release ya TFF iliwekwa hadharani lakini kuna rastaman mmoja anadai hajaielewa.

Je hiyo inatupa tafsiri gani?
 
Reactions: Tui
Na press release ya TFF iliwekwa hadharani lakini kuna rastaman mmoja anadai hajaielewa.

Je hiyo inatupa tafsiri gani?
Press ilisema wanakuja na majibu mpaka leo hawana majibu tunaenda mwezi wa nne
Juzi timu yako simba imesema inataka majibu ya uchunguzi ya tarehe 7 kama wangekuwa na majibu kwanini wanadai majibu
Ndo maana nakuita mtoto
 
Wapi nimeweka hayo madai nikisema kuna nukuu nimeitoa somewhere ikisema timu isipofanya mazoezi igomee mechi?
Wewe si husupport anacho kiongea Kiemba? Ukaja tena kusema.

"Mimi natoa nukuu"

Au nukuu unatoa kwenye mengine, ila sio kwenye kugomea mechi ya tarehe 8?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…