Amri Kiemba: Hakukuwa na sababu ya msingi iliyopelekea kuahirishwa kwa derby ya tarehe 8 March

Hivi kwa nini mashabiki wa Yanga na wafuasi wa CCM huwa ni wajinga sana?
 
Wewe si husupport anacho kiongea Kiemba? Ukaja tena kusema.

"Mimi natoa nukuu"

Au nukuu unatoa kwenye mengine, ila sio kwenye kugomea mechi ya tarehe 8?
Ndio nataka unioneshe mahala nilipo claim kuwa "timu isipofanya mazoezi igomee mechi" ni nukuu niliyoitoa kwenye press release ya TFF
 
Press ilisema wanakuja na majibu mpaka leo hawana majibu tunaenda mwezi wa nne
Juzi timu yako simba imesema inataka majibu ya uchunguzi ya tarehe 7 kama wangekuwa na majibu kwanini wanadai majibu
Ndo maana nakuita mtoto
Wewe ni mkubwa huu mjadala tuachie watoto wanaonekana ku fit zaidi kuliko wewe.
 
Halafu we ndiyo unataka kugombea urais? Kwa mitazamo hii, hata mtaani kwako haupati kura tano.

Derby hauiendei kizembe wala kinyonge. Simba hawakufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi walitegemea kwenda kufanyia kwa Mkapa kama taratibu zinavyoruhusu wakazuiwa, unataka kinyonge tu waende kwenye derby bila kufanya mazoezi kwa masaa zaidi ya 48 kabla ya mchezo.

Kama kila siku watu wanakiuka kanuni kibao na wako tayari kuadhibiwa kisa waingie wacheze derby katika namna wanayoona itawapa ushindi, kwa nini Simba ikubali kuonewa kifala tu?

Kule Mwanza, Simba ilifanya mazoezi, hayo mambo ya kukamatwa yalikuja baada ya mazoezi kuisha.
 
Ndio nataka unioneshe mahala nilipo claim kuwa "timu isipofanya mazoezi igomee mechi" ni nukuu niliyoitoa kwenye press release ya TFF
Kwani wewe unaye mpinga si kiembe.

Mimi na support, then ukaja na hii kauli

"Mimi natoa nukuu"

Nimekuuliza nukuu unatoa kwenye nini ,maana comment zako zipo against na Kiemba.
 
Mazoezi ya masaa mawili ya usiku ndo yasababishe ugomee mechi
 
Kwani wewe unaye mpinga si kiembe.

Mimi na support, then ukaja na hii kauli

"Mimi natoa nukuu"

Nimekuuliza nukuu unatoa kwenye nini ,maana comment zako zipo against na Kiemba.
Siumeona hajui hata ni kipi anachosimamia anabisha tu meelewa kwanini namuita mtoto

Hapo juu nimemkumbusha simba nao wanasubiria majibu kama Yanga na juzi wamesema kaingia mitini
 
Nimekwambia wangeondoka bila kufanya mazoezi ina maana wangeenda kwenye mchezo wakiwa hawajafanya mazoezi kwa masaa 48. Na kumbuka ulikuwa mwezi wa Ramadhani. Kwa nini Simba wawe wanyonge?
Mazoezi ya siku moja tena usiku kumbuka tokea jumatatu anafanya mazoezi na ijumaa asubuhi alikuwa anafanya mazoezi bunju sasa unasemaje hajafanya mazoezi

Mazoezi ya saa 1 usiku mpaka saa 3 ndo yakufanye ugomee mechi
 
Mazoezi ya siku moja tena usiku kumbuka tokea jumatatu anafanya mazoezi na ijumaa asubuhi alikuwa anafanya mazoezi bunju sasa unasemaje hajafanya mazoezi

Mazoezi ya saa 1 usiku mpaka saa 3 ndo yakufanye ugomee mechi
Mbona tunazunguka pale pale. Program ya siku moja katika uwanja wa mchezo ni sehemu ya program ya mwalimu na kanuni inayotambulika hadi na CAF iliwekwa kwa makusudi hayo. Kwa nini uniamulie wewe nisifanye mazoezi siku moja kabla kwa kuwa eti unaona hayana maana wakati ni haki yangu na ni sehemu ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo husika? Narudia, derby hauendi kinyonge au kifalafala.

Yaani mpinzani anizuie kwa makusudi nisitimize haki yangu ya msingi, halafu kinyonge tu nikacheze mchezo, labda siyo derby ya Kariakoo. Nakwambia hii hali ingetokea kwa Yanga tungekuwa hapa hapa leo hii.

Yanga kila siku wanavunja mageti wakienda kwenye derby, mbona haushangai kwa nini wanafanya hivyo?

Inaonyesha masuala ya mpira hauyajui kabisa.
 
Huwezi kosa mazoezi ya masaa mawili ukagomea mechi ni mjinga pekee atakayekubali

Timu yako inasubiria majibu sasa hayo ya mpinzani kukuzuia umeyatolea wapi sababu jana jumatatu simba walisema wanasubiria majibu ila cha ajabu wewe majibu na hukumu unayo
 
Habari ya kipigo kizito unatoa wapi
Ama kulikuwa na Matokeo mifukoni Kabla ya match?
 
Amri Kiemba sio lazima hadi yeye aone na kuielewa sababu ndio ionekane ni sababu.

Who Who the cucker is he, na maoni yake ni binding kwenye soma la dar?
 
Kwani wewe unaye mpinga si kiembe.

Mimi na support, then ukaja na hii kauli

"Mimi natoa nukuu"

Nimekuuliza nukuu unatoa kwenye nini ,maana comment zako zipo against na Kiemba.
Kama hata hujui nukuu nimetoa wapi je hizo allegations ambazo unanihusisha nazo kwamba nimezitoa unaweza kunipa post namba zake ambazo nimeweka yale madai yanayosema " timu isipofanya mazoezi igomee mechi"
 
Moja ya utaratibu ni timu pinzani kufanya mazoezi.

Huo utaratibu mliufuata?
Yanga wameweka wazi kuwa wao hawakuhusika kuwazuia kufanya mazoezi Kuna kigogo huko alipiga simu mzuiwe tff na bodi ya ligi intake ni nani?
 
Ndiyo maana nimekwambia masuala haya ya mpira hauyajui. Nimewahi kupitia makala zako nikagundua hilo. Kama uko serious na siasa, tafuta mshauri wa masuala haya akuelekeze kabla haujatia maoni au sera zako. Ni ushauri tu lakini una uhuru wa kuukataa.
 
Kuna upumbavu mwingi ulikua unafanyika kwa makusudi kwa kuw wajinga wanaofany walijua faini ni ndogo watalipa na maish yanaendelea. Kuna timu imeshapigwa faini za kutosha kosa la makusudi kupitia geti lisiloruhusiwa. Hata hiyo Machi 7 walifanya ujinga wa makusudi kwa kuwa walijua udhaifu wa kanuni. Majibu waliyopata kutokana na upuuzi wao ndio yanawatesa mioyo mpaka sasa. Simba alitoa barua moja tu kuwa hachezi akatulia zake. Upande wa pili wameshatoa tamko lao hivyo tunasikilizia utekelezaji wao.
 
Yanga wameweka wazi kuwa wao hawakuhusika kuwazuia kufanya mazoezi Kuna kigogo huko alipiga simu mzuiwe tff na bodi ya ligi intake ni nani?
Makomandoo wa Yanga sio sehemu ya kizuizi?

Hawa ni mara ngapi tunawaona wakiwa wameambatana na viongozi wa Yanga kwenye matukio mengi?

Hata ripoti ya TFF iliwatambua. Kwamba unataka tukubaliane huyo kiongozi hawa ni watu wake?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…