Amuua binti wa kazi kisha kuvunja chumba na kuiba pesa

Huyo jamaa alikuwa na mahusiano na demu kajuaje kama kuna hela hapo home.
 
Ninapokaa ni nyumba ya 7 kutoka kwetu dada wa kazi alikuwa na mahusiano apo mwili wake ulikutwa uchi mtuhumiwa alisema kuwa walipomlz tendo alimuomb aibe dada akakataa akaamua amue
Oooohw .


Too bad
 
Aiseee
 
Jamani...[emoji3064][emoji3064]
Pole nyingi nyingi kwa Family ya Binti hasa wazazi
 
Hali imekuwa ni ya kinyama sn sasa Duniani.Inasikitisha dada wa watu hana hata kosa.

Apumzike kwa amani
 
Umenikumbusha mwaka flan nyuma nilimtembelea Dada yangu na yeye hapo kwake alikuwa anaishi na mfanyakazi tu Mumewe alikuwa kasafiri nje ya nchi, na mimi nilienda kwa kustukiza tu wala sikufanya appointment. Nilicho kikuta Geti kubwa lilikuwa wazi kwa maana lilirudishiwa tu wala halikufungwa na komeo au funguo geti la kuingia ndani lilikuwa wazi na mda huo yalikuwa majira ya saa 6 mchana nilipoingia mpka seblen nikamkuta jamaa kajilaza kwenye makochi yupo tumbo wazi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ sasa ktk kutafakari huyu ni nani nikawa natamfuta yule dada wa kazi kumwita anaitikia akiwa jikoni kusogea mpaka jikoni alipo namkuta anakaanga mayai sasa mwenyewe akaanza kujistukia kwa aibu na hofu mara ashike kikombe aache mara ajiongeleshe vp umegonga sana mlango๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ narudi tena sebleni yule jamaa sijamkuta alishakimbia. Kumbe yule jamaa alikuwa ni bodaboda na alikuwa mpenzi wake na ilikuwa ni kawaida kwao Sister akiondoka kwenda kazin yule jamaa uingia pale nyumbani kama kwake na ata yale mayai alikuwa anamkaangia jamaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Wafanyakazi wa ndani ni wa kuishi nao kwa makini jamani wengi wao vitendo wanavyofanya majumbani wakiwa peke yao ni vya hatari ambavyo vinaweza kuleta madhara makubwa. Wezi majambazi sometimes upata michoro ya nyumba na kujua kilichomo ndani kupitia wafanyakazi wa ndani.
 
Daah [emoji16] nimemkumbuka sabra alikuwa ananiletea chakula ghetto kwenye hotpot
 
Kila ukiuliza mbona mayai yanaisha haraka unaambiwa hata sijui kumbe boda nae ana share yake hapo.
Kaaz kweli kweli
 
Daah pole sana aliibaje ..alivunja mlango au ?

Huyo itakuwa mwanafunzi mwenzenu
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… aah huyu nilokua nakaa nae alipoteza keys so keys tukawa tunaacha chini ya mlango

so day hatupo tukakuta hivo af n mchana peupeee๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

yah n mwanafunzi
 
Nahisi alikuwa na mahusiano na huyo marehemu
Hata mimi nawaza kwanini amuue kama hamfahamu?Inawezekana walikuwa wanafahamiana na ndio aliyetoa habari za kuwapo pesa chumbani. Nawaza tuu! Anyway apumzike kwa amani dada.
 
Hii kitu ni kukosa shule au pepo mchafu au ni nini sasa?
Kuna mtu aliye enda shule hata kiwango cha kufuta ujinga form4 anaeweza kufanya upuuzi huu.
Kwa nini hata kama ni mwizi asimfungie huyo bint huko stoo na akiisha kusachi na kupata cash amfungue akimzuga?
Na akiona labda soo litasanuka na mpunga alioiba unamtosha kutoroka mji atoroke akalime vitunguu kisha atume hiyo pesa kwa njia ya simu kwa mwenyewe akisha vuna. Maana kufanya hivyo ni njia ya kumrudisha tena mjini kama kuna haja hiyo.
Yaani ukinipa huyu jambazi nimhukumu nitamhukumu kupelekwa muhimbili kunyofolewa nyeti zake kitaalamu chini ya ulinzi akiisha pona akatumikie kifungo hadi uzee wa kama miaka 75 halafu aachiwe huru.
Sitamhukumu kifo maana kimsingi kifo sii adhabu bali wajibu wa kila mtu.
Na ukiuawa hakuna uwezo unaobakizwa kwako kujutia uovu wako.
 
Hakika kabisaa ni hatareee. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ